You are a good poet mkuu, in support of a traditional son of the soilKleruu died for a lost cause.
Mamwindi in defense of his honour.
Both were worldwise folks.
One a reknowned scholar
the other a thriving farmer.
One poisoned with ideology
the other a traditional son of
the soil.
Pardon me but there is no
price for guessing whose
side I am on.
Tena mbaya zaidi alikwenda kumharass na kumtukana mtu nyumbani kwake mbele ya mwanae na wafanyakazi wake... ingekuwa, nafuu umtukane mtu mitaani huko au ofisini kwako lakini si kumfuata kumdhalilisha kwake familia yake ikishuhudia..... umegonga pale pale! Kwa yale matusi ya RC, hakuna binadamu mwenye akili timamu angevumilia! Kiburi hususan cha madaraka ni kitu kibaya sana; kiongozi anatakiwa awe mfano, mstaarabu, na muungwana kwa anaowaongoza badala ya kutumia ubabe unnecessarily ili kujionesha "mimi ni nani".
Kama dhima ya serikali ilikuwa kuanzisha vijiji vya ujamaa obviously kulikuwa na sheria inaelekeza hivyo; RC angetumia sheria badala ya ubabe wa kipumbavu! Kimsingi, Kleruu alijitafutia kifo chake mwenyewe wala hakuna sababu ya kutetea ujinga!
Ni 50 shekheNi 49 au 59?
Story ndefu ila nimejikaza nimesoma yote. Naomba kujua, ni kwanini hoja ya kuchukua shamba alilosafisha mtu ilihali mapori bado ni mengi haijajibiwa? Otherwise jamaa alifanya vyema kuua huyo mbwa. By the way, picha ulizoambatanisha ziko wapi?
Na ndo sera iliyoleta chuki kubwa sana kati ya masikini na matajiri mpaka sasa,Sera ya ujamaa ilikuwa Ni Sera ya kipuuzi.Ilikuwa inahamasisha uvivu na kutokuwa wabunifu.Mapori yapo kibao,unaenda kuwanyang'anya mashamba ambayo tayari yamesafishwa kwa nguvu na watu wengine
Hivi imagine, angetokea sniper mshenzi ghorofa ya pili angemlamba risasi yule mbwa ingekuwaje.Mie nazungumzia tabia, alichokifanya ni kama makonda kuvamia clouds, huwezi kwenda kumkejeli mtu namna ile, wote ni wale wale tu.
Daaah, ujamaa it seems ilikuwa inalea wavivu, aiseeJibu liko hivi Mtoto wangu
Waliokuwa wanashabikia Ujamaa Tanzania ni wale watu wavivu wavivu na wenye chuki dhidi ya wenye chochote
Kamati iliyoamua kupora Mashamba ya watu 1972 ilikiwa imejaa Makabwela na watu Wavivu wavivu
Baada ya kupora mashamba yote hayo yaliyokuwa mpaka yana Planters tangu1950s yote yaliishia kugeuka Mapori na muda mfupi baada ya uvamizi huo kupora Mashamba wachapakazi na kukabidhi kwa Makada wa TANU nchi ilipigwa na baa la njaa ambalo halijawahi tokea tangu ule wa 1974
Mbali ya kupora mashamba pia wavivu wale wale wakageukia kwny Nyumba za watu…nyumba yoyote iliyozidi thamani ya Tzs.laki moja mwaka 1972 pia ilitaifishwa ikageuzwa ya Umma ambazo miaka ya baadae ndio hizo kina Magufuli wakauziana kama mishikaki
Uchumi wa Nchi hii ulipigwa mtama na watu waliokuwa wanajifanya ndio wameupigania
Wanaitwa akili kisoda.Hivi imagine, angetokea sniper mshenzi ghorofa ya pili angemlamba risasi yule mbwa ingekuwaje.
Sometimes huwa nawaza kuna watu kama si mnemonic disorder basi wana reasonning capacity ndogo sana.
Safi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa msiojua, Rashid Mfaume Kawawa akiwa waziri mkuu wakati huo alikwenda Kyela Mbeya, baada ya kufika huko akaamuru kufunga maduka binafsi ili wananchi wafungue maduka ya ushirika! Vijana wa Kyela wa wakati huo hawakukubali wakakusanya mawe na kumpopoa Rashid, Nyerere akamwambia Rashid sikukutuma ufunge maduka ulitakiwa ufungue maduka ya ushirika halafu hayo ya binafsi yangejifunga yenyewe.
Daah, hii ingeondoa ushindaniKwa msiojua, Rashid Mfaume Kawawa akiwa waziri mkuu wakati huo alikwenda Kyela Mbeya, baada ya kufika huko akaamuru kufunga maduka binafsi ili wananchi wafungue maduka ya ushirika! Vijana wa Kyela wa wakati huo hawakukubali wakakusanya mawe na kumpopoa Rashid, Nyerere akamwambia Rashid sikukutuma ufunge maduka ulitakiwa ufungue maduka ya ushirika halafu hayo ya binafsi yangejifunga yenyewe.
Miaka hairud nyuma inasonga mbele ilabaada yamiaka mi5 cku hujirudia.Good kutu juza mkulu...
kumbe miaka ina rudi nyuma maana na leo ni j.1 25/12/2021