Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

Kleruu died for a lost cause.
Mamwindi in defense of his honour.

Both were worldwise folks.
One a reknowned scholar
the other a thriving farmer.

One poisoned with ideology
the other a traditional son of
the soil.

Pardon me but there is no
price for guessing whose
side I am on.
 
Kleruu died for a lost cause.
Mamwindi in defense of his honour.

Both were worldwise folks.
One a reknowned scholar
the other a thriving farmer.

One poisoned with ideology
the other a traditional son of
the soil.

Pardon me but there is no
price for guessing whose
side I am on.
You are a good poet mkuu, in support of a traditional son of the soil
 
Story ndefu ila nimejikaza nimesoma yote. Naomba kujua, ni kwanini hoja ya kuchukua shamba alilosafisha mtu ilihali mapori bado ni mengi haijajibiwa? Otherwise jamaa alifanya vyema kuua huyo mbwa. By the way, picha ulizoambatanisha ziko wapi?
 
... umegonga pale pale! Kwa yale matusi ya RC, hakuna binadamu mwenye akili timamu angevumilia! Kiburi hususan cha madaraka ni kitu kibaya sana; kiongozi anatakiwa awe mfano, mstaarabu, na muungwana kwa anaowaongoza badala ya kutumia ubabe unnecessarily ili kujionesha "mimi ni nani".

Kama dhima ya serikali ilikuwa kuanzisha vijiji vya ujamaa obviously kulikuwa na sheria inaelekeza hivyo; RC angetumia sheria badala ya ubabe wa kipumbavu! Kimsingi, Kleruu alijitafutia kifo chake mwenyewe wala hakuna sababu ya kutetea ujinga!
Tena mbaya zaidi alikwenda kumharass na kumtukana mtu nyumbani kwake mbele ya mwanae na wafanyakazi wake... ingekuwa, nafuu umtukane mtu mitaani huko au ofisini kwako lakini si kumfuata kumdhalilisha kwake familia yake ikishuhudia..
 
Jibu liko hivi Mtoto wangu

Waliokuwa wanashabikia Ujamaa Tanzania ni wale watu wavivu wavivu na wenye chuki dhidi ya wenye chochote

Kamati iliyoamua kupora Mashamba ya watu 1972 ilikiwa imejaa Makabwela na watu Wavivu wavivu

Baada ya kupora mashamba yote hayo yaliyokuwa mpaka yana Planters tangu1950s yote yaliishia kugeuka Mapori na muda mfupi baada ya uvamizi huo kupora Mashamba wachapakazi na kukabidhi kwa Makada wa TANU nchi ilipigwa na baa la njaa ambalo halijawahi tokea tangu ule wa 1974

Mbali ya kupora mashamba pia wavivu wale wale wakageukia kwny Nyumba za watu…nyumba yoyote iliyozidi thamani ya Tzs.laki moja mwaka 1972 pia ilitaifishwa ikageuzwa ya Umma ambazo miaka ya baadae ndio hizo kina Magufuli wakauziana kama mishikaki

Uchumi wa Nchi hii ulipigwa mtama na watu waliokuwa wanajifanya ndio wameupigania
Story ndefu ila nimejikaza nimesoma yote. Naomba kujua, ni kwanini hoja ya kuchukua shamba alilosafisha mtu ilihali mapori bado ni mengi haijajibiwa? Otherwise jamaa alifanya vyema kuua huyo mbwa. By the way, picha ulizoambatanisha ziko wapi?
 
Sera ya ujamaa ilikuwa Ni Sera ya kipuuzi.Ilikuwa inahamasisha uvivu na kutokuwa wabunifu.Mapori yapo kibao,unaenda kuwanyang'anya mashamba ambayo tayari yamesafishwa kwa nguvu na watu wengine
Na ndo sera iliyoleta chuki kubwa sana kati ya masikini na matajiri mpaka sasa,
Masikini siku zote amejaa roho mbaya,chuki,khusda,ushirikina,majungu wivu nk na kumchukia aliye nacho na ni mara chache sana tajiri kumchukia masikini..

Na ndio mobu ambayo wanasiasa na watawala dhalimu huitumia kufanikisha fitna zao kwenye tawala zao.

Ni Kama yule jamaa aliyeenda zake
 
Mie nazungumzia tabia, alichokifanya ni kama makonda kuvamia clouds, huwezi kwenda kumkejeli mtu namna ile, wote ni wale wale tu.
Hivi imagine, angetokea sniper mshenzi ghorofa ya pili angemlamba risasi yule mbwa ingekuwaje.

Sometimes huwa nawaza kuna watu kama si mnemonic disorder basi wana reasonning capacity ndogo sana.
 
Jibu liko hivi Mtoto wangu

Waliokuwa wanashabikia Ujamaa Tanzania ni wale watu wavivu wavivu na wenye chuki dhidi ya wenye chochote

Kamati iliyoamua kupora Mashamba ya watu 1972 ilikiwa imejaa Makabwela na watu Wavivu wavivu

Baada ya kupora mashamba yote hayo yaliyokuwa mpaka yana Planters tangu1950s yote yaliishia kugeuka Mapori na muda mfupi baada ya uvamizi huo kupora Mashamba wachapakazi na kukabidhi kwa Makada wa TANU nchi ilipigwa na baa la njaa ambalo halijawahi tokea tangu ule wa 1974

Mbali ya kupora mashamba pia wavivu wale wale wakageukia kwny Nyumba za watu…nyumba yoyote iliyozidi thamani ya Tzs.laki moja mwaka 1972 pia ilitaifishwa ikageuzwa ya Umma ambazo miaka ya baadae ndio hizo kina Magufuli wakauziana kama mishikaki

Uchumi wa Nchi hii ulipigwa mtama na watu waliokuwa wanajifanya ndio wameupigania
Daaah, ujamaa it seems ilikuwa inalea wavivu, aisee
 
Hivi imagine, angetokea sniper mshenzi ghorofa ya pili angemlamba risasi yule mbwa ingekuwaje.

Sometimes huwa nawaza kuna watu kama si mnemonic disorder basi wana reasonning capacity ndogo sana.
Wanaitwa akili kisoda.
 
Kwa msiojua, Rashid Mfaume Kawawa akiwa waziri mkuu wakati huo alikwenda Kyela Mbeya, baada ya kufika huko akaamuru kufunga maduka binafsi ili wananchi wafungue maduka ya ushirika! Vijana wa Kyela wa wakati huo hawakukubali wakakusanya mawe na kumpopoa Rashid, Nyerere akamwambia Rashid sikukutuma ufunge maduka ulitakiwa ufungue maduka ya ushirika halafu hayo ya binafsi yangejifunga yenyewe.
 
Safi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa msiojua, Rashid Mfaume Kawawa akiwa waziri mkuu wakati huo alikwenda Kyela Mbeya, baada ya kufika huko akaamuru kufunga maduka binafsi ili wananchi wafungue maduka ya ushirika! Vijana wa Kyela wa wakati huo hawakukubali wakakusanya mawe na kumpopoa Rashid, Nyerere akamwambia Rashid sikukutuma ufunge maduka ulitakiwa ufungue maduka ya ushirika halafu hayo ya binafsi yangejifunga yenyewe.
Daah, hii ingeondoa ushindani
 
Ujamaa ndio umetufikisha hapa kama taifa,kua masikini na omba omba na kufanya vijana kukimbia vijiji vyao na kujazana mijini
Why?
Kabla ya ujamaa Kulikua na wakulima wa large scale plantation wakimiliki mashamba makubwa Sana ya uzalishaji
Mfano ya Mzee baba Mwamwindi ,
Na Watu enzi hizo walikua wakiishi Kwenye mashamba makubwa ya ukoo yaliyojitosheleza Kwa chakula na biashara pia,kile kitendo Cha kuwatoa Kwa Nguvu Kwenye base zao na kuwarundika Kwenye vijiji vya ujamaa ulikua ni uwendawazimu wa kiwango kikubwa Sana
Note: Usingekua ujamaa Leo tungekua na Mabepari weusi kibao wanaomiliki uchumi mkubwa Sana na ingeongeza hamasa Kwa vijana kuanzisha mashamba ya kisasa kabisa imagine miaka ya 60's huko kina Mwamwindi wanamiliki maekari ya mashamba,majumba,matrekta nk
je wasingepokwa miaka ile Leo familia zao zingekua na ukwasi wa kiasi Gani?
 
Back
Top Bottom