Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Lol.Mtani Shadeeya nadhani ulikuwa mpenzi wa somo la historia shuleni.
Practical yake ni kama hivi sasa.... na kukumbusha tu historia ni nini kwa lugha ya wazungu wa Uingereza
History is the study of the past, present in order to determine the future.
Naipenda historia😍😍
Eeewaaa!!🤸♂️🤸♀️🍔🥞🍔🍟🍞🍪
Canavaro alikiri kuwa jamaa hafai kabisa kumkaba.Emmanuel Okwi aliwafanya kitu mbaya Uto, lile goli la kwanza uhuru ulipitiliza yaani..!
Hawatakaa waje wasahau mabeki wao..!
Ok sawaRedondo na Mafisango hawakuwahi kucheza pamoja Simba kama unakumbuka vizuri, Mafisango alinadilishana na Chombo kutoka Azam kwenda Simba
Hapana labda wapeleke kwanza kufidia mapengo ya nyuma. Ya mwaka huu tuwaachie Simba watajua wanafidiaje mwakaniTuwaombe TFF waongeze hizi goli 5 na points 3 kwenye msimamo wa msimu huu utatu boost
Mtani kumbe sisi ndio waanzilishi wa hizo tano eee?Mtani wangu Shadeeya na wengine niwape historia sasa ambapo Yanga ndiye alianzisha mbio hizi za magoli mengi ila akilipwa na kupewa nyongeza na mtani wake😁☝️
1. Yanga 5 vs 0 Simba, June 1, 1968
Yanga iliifunga Simba jijini Dar es Salaam mabao 5-0. Wakati huo Simba ikiitwa Sunderland. Mabao ya Yanga yalifungwa na Maulidi Dilunga (2) Salehe Zimbwe (2) Kitwana Manara (1).
Hii ndio historia.
Ila tunawadai🤣Mtani kumbe sisi ndio waanzilishi wa hizo tano eee?
Uto...kwenye ubora wako, hongereni lakini mabingwa watarajiwa.Tuwaombe TFF waongeze hizi goli 5 na points 3 kwenye msimamo wa msimu huu utatu boost
Na malipo yenu ndio haya hapa mtani. Malipo ni hapo hapo Temeke 🤣Mtani kumbe sisi ndio waanzilishi wa hizo tano eee?
Mimi ni Kolo mwenzio , tuungane tuzidai hizo goli 5 na points zakeUto...kwenye ubora wako, hongereni lakini mabingwa watarajiwa.