Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

Au ile unatoka na mtu unashangaa anakuagizia kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23] bor aaseme kuwa tuagize tutakuka wote inatosha
Ila pia inaweza kuwa hakuwa na pesa mngeshea kulipa ukaagiza nusu nyingine mle wote sio mbaya
 
Wala ila sikupendezwa kula chakula changu ili hali angeweza kuagiza chake na nilimuuliza mbona haagizi akadai hana njaa hapa ndio alinikera, hajaagiza chakula chake anakuja kula chakula changu.

Watu wengi wana tabia hiyo wachache sana
Hakuna raha kama unaenda sehem unaagiza unachotaka na kunywa unakuwa free [emoji23][emoji23] sasa wanaume wa hivyo wachache [emoji23][emoji23]
 
Au ile unatoka na mtu unashangaa anakuagizia kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23] bor aaseme kuwa tuagize tutakuka wote inatosha
Ila pia inaweza kuwa hakuwa na pesa mngeshea kulipa ukaagiza nusu nyingine mle wote sio mbaya
Angenieleza basi mapema kama hela ndogo tujue tunafanyaje, lkn mambo ya kuniambia hana njaa afu anakula chakula changu alinikwaza sana 😒
 
Nani alikudanganya uki withdraw hutungishi mimba?
 
Kweli kabisa
 
Sharing is caring acha uchoyo. Kifupi alikuwa Hana hela ya kutosha kuagiza chakula cha watu wawili.
 
Sharing is caring acha uchoyo. Kifupi alikuwa Hana hela ya kutosha kuagiza chakula cha watu wawili.
Sidhani kama umenielewa. Hivi kwa mfano kama ni wewe umeamua kumtoa mtu out kwa nini usibebe pesa ya kutosha? Kama ni suala la hela kuniambia mapema aliona shida gan ? Nilichoboreka alisema kashiba hakuagiza chakula chake ila akaja kula cha kwangu yaan maana yake ni nini ata ungekuwa wewe ungefurahia?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa kama hana helaa ulitaka afanyaje
 
Abebe sasa alikuwa nayo....??? Angekuwa nayo si angekuja nayo ya kutoshaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sema kama ndo maeneo ndizi kuku eldu 5 alizingua...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa kama hana helaa ulitaka afanyaje
Angekituliza , Wee Riki unajijua kabisa huna hela unalazimisha upeleke mtoto samak samaki kumbe hata hela ya juice huna huu ni uwendawazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…