Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

Yamekukuta kumbe[emoji848]
 
Aisee kumbe kweli gari kisu cha kuchinjia warembo
 
Watu wengi wana tabia hiyo wachache sana
Hakuna raha kama unaenda sehem unaagiza unachotaka na kunywa unakuwa free [emoji23][emoji23] sasa wanaume wa hivyo wachache [emoji23][emoji23]
Who u gals been dating? 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Duh umeshikilia hio 'chakula changu' kila post. Huyo jamaa hakuwa na hela ya kutosha na hakuwa na confidence ya kukwambia ungekausha tu chakula sio big deal.
 
Ungejiongeza na wewe hakika ungekuwa umejenga zaidi siyo kila mwanaume anaweza kusema ukweli mbele ya demu
Nyie sijui hamsomi mkaelewa, kuna sehemu hapo nimesema nilimuambia aagize chakula chake akagoma akidai kashiba asa ningefanyaje zaidi? Ungekuwa ni wewe ungefanyaje? Kama ni suala la hela tungeongea asa mtu kakausha manake nini?
 

Aliazima labda au sikz hiyo hakuwa na hela [emoji23][emoji23][emoji23] mi huwa nawahurumia [emoji23][emoji23] unaona mtu anajikakamua kabisa anakutoa out lakin unamuona kabisa hayupo huru inabidi ulipie
 
Aliazima labda au sikz hiyo hakuwa na hela [emoji23][emoji23][emoji23] mi huwa nawahurumia [emoji23][emoji23] unaona mtu anajikakamua kabisa anakutoa out lakin unamuona kabisa hayupo huru inabidi ulipie
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Labda aliazima. Kiukweli hawa kaka zetu wanapitiaga magumu lakini sasa bora wawe wakweli usijikaushe kumbe hali ni mbaya. Unampa mtu uhuru aagize mazaga zaga kumbe mfuko hausomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…