Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Yamekukuta kumbe[emoji848]Angeniambia tungetoa hela kwa pamoja tununue chakula cha kututosha wala haikua na shida. Sasa yeye kanipa uhuru wa kuagiza chochote anadai kashiba hapa ndio alipokosea. Kwanza alikuja na gari kaliii eeh kumbe hela ya msosi hakuna alooo [emoji23][emoji23][emoji23]