Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbavuu zanguu hahahahah!!
Alikua hajiamini kama angetoka nawewe huyo wadogo zangu sophy27 Lovelovie mje kutanua mapafu hukuuuu nimecheeeekaaaaa
Hadi nikawaza labda tulivyokuwa pale alimuona mtu labda anajuana naye labda mpenzi wake au ex. Maana zile stail hapana. Huo usiku niliuchukia sana.
 
Hahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.

Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.

Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.

Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.

Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.

Nilivyotoka hapo, nikamblock.
Unaokoteza sana.
 
Kipindi nipo Chuo siku hiyo kulikua na vimanyunyu nilitoka kwa mguu toka off-campus mpaka chuoni mwendo kama dakika 15 hivi kumfuata mrembo muda wote tunawasiliana na bibie.

Kufika namshtua nimefika anachungulia nje anaona vimanyunyu anasema hataweza kuja kuniona sababu ya mvua nywele zake zitaloa. Najaribu muelewesha lakini haelewi palepale nikamblock na kurudi zangu mdogo mdogo maghettoni, safari ya kurejea ilikua ndefu hiyo njia nzima nasonya na kutukana 😂😂😂
Unaweza kuta alikuwa na jamaa ndani anasubiri kumkamua....maana hostel ikinyesha tu mvua balaaa......
 
Hahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.

Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.

Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.

Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.

Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.

Nilivyotoka hapo, nikamblock.
Mambo mengine vipi Hannah
 
Kuna date moja nliwahi aibika kinyama mpaka leo sielewi. Sijui nilirogwa....? Demu tumeenda onana sehemu ameagiza chakula na vinywaji... Demu mwenyewe mkali ila wa uswahilini. Basi nimekaa naye sijui hata niongee naye nini. Madini yote kichwani yameyayuka. Kila saa namwambia "niambie" anasema "aaah sina la kusema"

Nikikaa kidogo namwambia tena... Niambie..... Nikamwona anaboreka kwa hilo swali. Ila sielewi tu kwa nini ndo kauli inayotoka kila wakati.

Nikiwaza nimpe story gani nakuta kichwani empty kabisa. Nikamuuliza kama aliangalia match ya jana. Akang'aka "aaaah mi mpira wapi na wapi"

Basi nikawa naamka naenda jikoni kuwafokea wanachelewesha chakula...mara wa vinywaji akileta nasema si cha baridi sana....yaani siku ile network ilikuwa inakata sana....mpaka leo sielewi.

Yeye alikuwa cool tu. Majibu yake ya mkato. Yaani nlikuwa nimem bore sana maana sikuwa hata najielewa. Mtoto ametulia tu akaanza kuchezea simu yake tecno. Mi nang'aa ng'aa macho tu. Kikaja chakula tukala. Kimya kimya. Tumemaliza sina hata story moja. Akasema "basi mi naomba niende home"

Nikamwambia "sawa nimefulahi kukuona" yaani hata kuongea siku hiyo nilikuwa nakosea sana.. badala ya kusema nimefurahi. Nikaweka la.basi tumeamka namsindikiza nikamwambia "** upo flee kesho tena" akashtuka.... "Kheeeee" nikagundua nilitamka neno vibaya badala ya kusema kama nilisema **.

Hii kitu ilinidhalilisha sana.sielewi yule binti sijui aliniroga....nilipoachana naye ndo nikawa nakumbuka mistari kadhaa na stories ambazo ngempa. Sikumla. Mpaka miezi mingi baadaye tena nikamkuta sehemu nikamwimbisha sana na kumtaka anisamehe kipindi kile nilikuwa nimetoka msibani. Ndo akakubali nikaenda mla.ila alikuwa akiikumbuka ile date ananicheka sana. Akawa ananitania kuwa nlishtuka kumwona mtoto mrembo kama yeye sijawahi maishani....

Mpaka leo sielewi nlipatwa na nini.
Khakhakhaaaa!!!
Naendelea kusoma koments mieeee mbavu sinaaaa🙇🙇🙇🙇🙇🙇!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dah
 
Back
Top Bottom