Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,874
Kibabe sana hiiunajua tunafeli pale tunaposhindwa kuongea unapopanga kukutana na mtu unayehitaji jambo na yeye muulize utakuja mwenyewe au na wenzako Majibu yake yatakupa uwanja wa wewe kukubali aje nao au umkatalie ila vijana wengi wanaona kama kuuliza ni kujiweka daraja la chini.
Nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa nipo chuo nilipanga kukutana na mwanamke mmoja na nilimuuliza kama atakuwa mwenyewe au na wenzake na akanijibu atakuwa mwenyewe nikamwambia sawa, basi kesho yake nikafika sehem ya makutano nikaendelea kupiga vinywaji alipofika alikuwa mwenyewe ila baada ya muda akaita rafiki zake wawili nikawakaribisha vizuri sikuwa vibaya mfukoni nikawahudumia wote vinywaji na chakula wakati tunaendelea kupata chakula stor za hapa na pale nikamgeuzia kibao nkamwambia mbele ya rafiki zake kulikua na maana gani ya mm kupanga kukutana na ww tuwe wawili alaf uite rafiki zako hakuwa na majibu ila kuna rafiki yake anaonekana ana akili sana akaniambia shemeji samahani hatukujua kama mliplan kuwa wawili maana hajatuambia na yeye ndio katuita akiwa njiani mm nkawaelezea mazingira yote jinsi tulivyopanga kukutana na wale rafiki zake wakamwambia pale pale hakukua na haja japo shemej katuhudumia vizur ila angekua mtu mwingne angetukimbia nikawaambia bas mm nshasuuza nafsi yangu siku nyingine unaplan kukutana na mtu ni vyema ukazingatia makubaliano akawa amejiskia vibaya akaanza kulia akatoka na mwenzake mmoja akabaki yule mwenye akili Nkaomba namba hakusita kunipa na akaniambia napenda mwanaume anaeweza kujieleza bila kujali ataonekana vipi mbele za wanawake bas next time nkamtoa huyo rafiki mtu akaja peke yake na nikabadili gia juu kwa juu mjinga akaachwa penzi likanoga kwa rafiki mtu na yule dada alinipenda kwakua niliweza kuongea ukweli na kuwa muwazi