Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

Uzi pendwa kama hizi huwa zinatembea sana kuliko zile za kupinga tozo.

Nawasubiri wazee wa kutunga stori za uongo na kweli waje wavamie huu Uzi. Wanatunga sasa hivi.
@mpwayunguvillage Njoo huku
[emoji23][emoji23][emoji23] wapo chimbo wanatengeneza story hii ndio JF kila mtu anastory umu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ulikumbana na kinembe kirefu. Baadhi ya wazazi (akina mama) huwavuta kisimmi watoto wao wa kike kila wanapowaogesha , wanyarwanda wengi wana viharage virefu kwasababu ya kuvutwa tangu utoto. Usipokuwa makini unaweza fikiria ni kajiuboo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaa jamaa uzalendo ulimshinda
 
Nakumbuka wakati niko chuo first year Jiji la miamba,kuna kamanzi nilikuwa nakasarandia sumbuana wee Mara kakubali tutoke dinner.
Tumefika bar ita mhudumu Mimi nikaagiza grandmalt yule dada kaagiza Kilimanjaro nikajua ni maji kumbe biereee[emoji28].
Mhudumu kaleta nashangaa ni bia 4 kwa mpigo aisee sikumdhania kama anakula ulabu. Tulikunywa na kula baadae nikaaga kwenda chooni nikampigia simu roommate wake kumuelezea ya huku akasema usishangae huwa anamaliza hata bia 10[emoji86][emoji86][emoji86]. Alivyolewa Sasa akaanza kunisumbua niende Kaa dj kumuomba aweke wimbo wa PEKECHAPEKECHA ulioimbwa na band ile ya zamani ilivyokuwa chini ya Christian Bella.
Nilivyomrudisha kwake nikamblock kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimewahi omba date na dem mmoja tukiwa chuo 3rd year.

Akanikubalia...tukapanga location akasema kuna location anaijua ni nzuri na atakua comfortable.

Siku naenda namkuta yupo na mshkaji mmoja, akanitambulisha ni boyfriend wake ...wakaanza kunipa lecture ya Network Marketing.

Niliwaaga naenda washroom, sikugeuka tena
 
Nipe iyo chance mimi

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣
 
Dadeqqqqqq .......Kama ndama!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo uwiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo shangazi alitimba na familia kabisa
 
🤣🤣🤣🤣 Huyo alikuwa kiboko.... Akili yake itakuwa iliwahi pata dhoruba... So alikuwa ana ku examine?🤣🤣🤣 Nitachukua hii mbinu yake siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…