Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

mwaka 2019 ktk harakdti za kutafuta nyapu mpya initoe stres Muhuni ndipo nikakutana na binti mmoja 23-26 hivi akanipa namba tukayajenga vizuri akakubali kuja kuja magetoni baadaa ya week 2 hivi,
ktk kuanza kumnyandua kifuani yuko vizuri nikajisevia fresh tu
shida nilipomvua pichu ndio maajabu nilikutana nayo mtoto nahisi hakuwa amenyoa mavu$! zaidi ya mwaka hakika nilikutana na bonge moja la kichaka marefu adi papuchi haionekani unaitafuta kwa tochi na uhuni wangu ila na kinyaa hatari sikuweza kuyashika wala kupiga kwa kweli nakaacha na kumshikashika nikanyookea bafuni mazima stimu yote ilikata kurudi nika mute zangu kumfukuza siwezi ikabid nilale zangu kumfukuza siwezi ila nivyo amka siku mkuta na nikafuta na namba nae hukujanitafuta tena
 
We sio muhuni masta
 
1. Baada ya kunitafuta sana nikaona nimsikilize hata na hivyo nilikuwa bored! Tukapanga siku ya kuonana, cha kushangaza jamaa anang’ang’ania tuonane kuanzia saa5 usiku maana ndo ana muda (anakuwa katoka kazini) na sio kwamba tunaenda kwake au sehemu ya kificho. Nikasema sawa! Siku ya date nimejiandaa vizuri, baada ya kumuelekeza sana mpaka nilipo, hatimaye kufika na kuniambia yuko nje tayari! Kutoka nakuta kaja na eicher (daladala ya tegeta gerezani nadhani). Mhh nikatamani kutoa sababu ya uongo nirudi ndani ila jamaa akawa kama kitu cha kawaida mbona na amechangamka sana nikasema anyway na kujiandaa kote huku wacha niende tu!
Tukaelekea sehemu ya karibu tu maana sikutaka kwenda mbali na ile daladala! Kufika sehemu na baada ya kukaa huku nikitaka kumuuliza maswali mawili matatu, ghafla ananiambia mbona bado unatafuna big g? Nikamjibu si naweka mdomo fresh tu! Ghafla nashangaa mtu katoa kalamu na karatasi ‘minus 1’ yaani kwenye marks zangu keshapunguza moja! Ndipo nikajua nipo na chizi baada ya hapo nilimlima block[emoji18]

Hiii itakuwa chai maana story zake zimekaa kiuongo uongo tuu
 
Nimewahi omba date na dem mmoja tukiwa chuo 3rd year.

Akanikubalia...tukapanga location akasema kuna location anaijua ni nzuri na atakua comfortable.

Siku naenda namkuta yupo na mshkaji mmoja, akanitambulisha ni boyfriend wake ...wakaanza kunipa lecture ya Network Marketing.

Niliwaaga naenda washroom, sikugeuka tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uyo demu ni muuwaji
 
Nimewahi omba date na dem mmoja tukiwa chuo 3rd year.

Akanikubalia...tukapanga location akasema kuna location anaijua ni nzuri na atakua comfortable.

Siku naenda namkuta yupo na mshkaji mmoja, akanitambulisha ni boyfriend wake ...wakaanza kunipa lecture ya Network Marketing.

Niliwaaga naenda washroom, sikugeuka tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sorry kama itakua nje ya mada...

Tulikua sehem na rafiki,tumesimama tunapiga stori,akapita mdada wa matikiti jamaa akaagiza,alivyokua anatafuna na kulifyoza hadi kinyaa,ni mara ya pili nimemfanza akaninunia mwaka mzima...

Wapili huyu ni staff senior kabisa,anakula ovyo sijapata ona,anatafuna kama mbwa koko,
Nilimfanza akasema ameshazoea awezi badilika.

Watatu ni mdada mrembo hasa,
Nilikutana nae mjini ni binti wa chuo mwaka 3,niliomba namba,tuliongea mengi,kesho wake nikamwomba tutoke na marafiki zangu kwenye chakula cha jioni.

Mdada ni mzuri marafiki zangu wote walinipongeza....
Aibu ilipoanza,nilitegemea atakuwa msikilizaji,matokeo yake ye ndio mjuaji,kila mada anadaki anachangia,chakula kilipokuja alikua anatafuna kama mbuzi,na anatafuna uku anaongea #aibu, hatulii kila saa anaminyaminya simu,kashawazoea marafiki zangu kama wanafahamiana miaka 7 nyuma,yeye anaongea pumba wakati wote,hana hekima,simu yake haishi kuita kila bada ya dk5 na anapokelea hapo hapo,mara wachambane na mashoga zake,mara huyu bodaboda wangu ananipigia sijui anataka nini....

Ilikua aibu kuu.
Mademu wa uswazi hao!!
 
Nikiwa 1St yr Chuo, kuna siku nilikua na appointment na mtu fulan, daaah tulipokutan kumbe kaja na rafiki zake, afu m1 wapo n mtu wa mtaan kwetu na pia n classmates wangu wa primary,

Nlijisikia vibayaaa sanaaa, sikuwa huru japo nilijikaza kukaa tyuuh palee, baada ya kuagana na kuondoka, nkamuambia kila mtu ashike 40 zake, na tufanye km hatujawahi kujuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cha ajabu sasa classmates ndo akaanza kunisumbua na yeye, pia nikamfungia kioo,, sitaki mazoea ya kupitiliza, uwiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ivi kumbe wanaopenda wanaume wenzao ni wengi?
 
2. Siku ya birthday yangu! Tumeenda date sehemu akaniletea cake! Kufungua keki tayari imekatwa nusu, kuumuuliza akasema nyumbani kwao wamekata! Nikasema sio case, tukakata pale kidogo na kuendelea kula chakula kingine! Muda wa kuondoka nashangaa anaibeba keki yote! Vipi???? Eti anawapelekea ofisini kwake!!!! Eeh kwakweli kuna vitu vinashangaza, nae alikula block

3. Huyu alikuwa kawaida tu! Siku tunatembea ‘evening walk’ kuna watoto wakawa wanacheza wakikimbizana huku na huku na kule! Wakawa kama wanatusumbua lakini si ni watoto who cares??? Eeh mwenzangu uvumilivu ukamshinda akampiga mtoto mmoja kwenzi zito sana. Mimi na watoto wengine ikabidi tumshangae, huku aliyepigwa akilia! Jamaa hana habari. Kwakweli baada ya tathmini baadae nikaona nimblock tu.
Huyo aliendoka na cake alitisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Kuna kaka nilikutana nae kitaan wakati nasoma kipindi hicho akaniomba tutoke siku, nikakubali .Siku imefika kanifata hao tukaondoka picha linaanza tumefika sehemu kuna vinywaji na chakula akaniambia niagize chakula haya nikajiagizia ndizi na kuku choma. Sasa nikawa nashangaa mbona yeye haagizi akaniambia yupo fresh hana njaa anakunywa tu soda.

Chakula kimekuja nimekula kiasi nashangaa mzee baba nae kasogea anakula chakula changu yaani sahani moja ila mtu mbili khaaa nikamuuliza vipi tena? Ananiambia nakula kidogo tu [emoji47] jamani. Nikamuambia basi tuagize kingine akaniambia hamna anakula kidogo tu. Nilikula kiasi tu nikaacha yeye akamalizia chote. Nilipotoka pale akawa anapiga piga simu tutoke tena nikamuambia nipo busy sina nafasi khaaa tabia gani ile.
 
Alikua hana Pesa na njaa inauma
 
Wewe ni mchoyo [emoji2][emoji2][emoji2]
 
mwaka 2019 ktk harakdti za kutafuta nyapu mpya initoe stres Muhuni ndipo nikakutana na binti mmoja 23-26 hivi akanipa namba tukayajenga vizuri akakubali kuja kuja magetoni baadaa ya week 2 hivi,
ktk kuanza kumnyandua kifuani yuko vizuri nikajisevia fresh tu
shida nilipomvua pichu ndio maajabu nilikutana nayo mtoto nahisi hakuwa amenyoa mavu$! zaidi ya mwaka hakika nilikutana na bonge moja la kichaka marefu adi papuchi haionekani unaitafuta kwa tochi na uhuni wangu ila na kinyaa hatari sikuweza kuyashika wala kupiga kwa kweli nakaacha na kumshikashika nikanyookea bafuni mazima stimu yote ilikata kurudi nika mute zangu kumfukuza siwezi ikabid nilale zangu kumfukuza siwezi ila nivyo amka siku mkuta na nikafuta na namba nae hukujanitafuta tena

Ungeenda dukan ukanunua kiwembe ukamnyoa unazira papuchi
 
Hahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.

Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.

Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.

Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.

Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.

Nilivyotoka hapo, nikamblock.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom