Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
ha haaa, kwa raha zako rafiki....ni juzi kati tu hapa mke wa rafiki yake msukuma amenitafuta kuniuliza nimemfanyaje mbona siku hizi msukuma katulia kwake ndio kumekucha sasa, nimsaidie, nikamwambia sina hata nililomfanya, yeye akinywa bia kule mie nakunywa ballantin huku, najiwahia nyumbani natulia na wanangu, sina habari nae na sitakuwa tena na habari nae, ajiheshimu/ajitunze!
Binafsi ni mtu mzima na akili zangu timamu, nina jua jema na baya, so nikifanya kinyume na kumuudhi mwingine, itakuwa nimeamua tu kufanya hivyo, kuna mambo ya kumkosea mwenzio bila ya kujua, umefanya jambo kwako unaona uko sahihi lkn yy halikumpendeza hapo sawa, yaweza kuwa kwa kuongea imetokea umeropoka km mnavyojua ulimi, pengine umezidisha chumvi kwa chakula na ww bila ya chumvi nyingi huwezi kula na mengine yanayo fanana na hayo,
mimi ni mke, na ninajua kuwa ni mke wa mtu....
hata nilipokuwa kwa wazazi sikuwahi kurudi saa 8 usiku bila kuwaambia wazazi wangu kuwa naenda wapi na nitachelewa kurudi. nyumbani kwangu napenda (mimi pia nafanya hivyo) ninapoona nitachelewa kurudi nyumbani hata kama kwa nusu saa, huwa natoa taarifa kuwa nitachelewa kurudi. huwa nafanya hivi hata kwa msichana wa kazi. ikitokea mume kasafiri na nitachelewa kurudi huwa nampigia dada wa kazi kumwambia kuwa nitachelewa kurudi nyumbani.
huwa napenda kutoa taarifa siyo sababu nisifikiriwe vibaya, ila sababu mtu asiwe na wasiwasi kuwa nipo salama au la. mimi ni binadamu, chochote kinaweza nipata. mtu ajue kuwa nipo salama ila nimechelewa tu kurudi.
mdogo wangu, asilimia kubwa sana ya rafiki zangu ni wakaka, nje na ofisini. kwa hiyo huwa anajua kabisa nawasiliana/kutoka zaidi na wakaka kuliko wadada, na yupo sawa tu kwa hilo.
AshaDii swala la mahousegirl limekuwa overated sana, kiasi kwamba wanaume ndio wamepatia utetezi wao kwa ubazazi wao.
Mbona wanatembea na ndugu au step daughters wao, Mbona hawatembei na wahudumu wa hoteli wanaowatandikia vitanda? Uhusiano wa kutandika kitanda na mwanaume kutembea na dada ni upi? Kuna tofauti gani na kufuta vumbi tv, au kusafisha choo. Wanawaonea helpless n sometimes innocents maids kwa udhalimu wao tu.
Nawaachaje bila msichana wa kazi?
...Kudhibiti kwapaswa mtu ajue wapi mpaka wake. Suala la kukagua kagua simu kila mara ni kujitafutia tu matatizo.
ha haaa, kwa raha zako rafiki....
na hivi huna mpango wa kuondoka, kwa nini umkimbize?
Okay..kwa hiyo unachosema ni 'scale' ya udhibiti kupishana..ryte?
Lakini tukatae tukubali kwenye aina yeyote ya udhibiti woga na kutojiamini kunakuwa kukubwa kuliko hata mapenzi yenyewe..hivi kama najitambua mkewangu anashindwaje kuniamini hata ninapokuwa na wadogo zake?
Ni kwa vipi nisiamini tu kuwa mkewangu yupo jf kwa nia njema
Kwa nini nihangaike na mi'passwords'?...lazima kuna sehemu lipo tatizo
Aidha ni woga ulonijaa/wivu ulopevuka au mwenzangu ni kicheche..
lakini ilinipa fundisho/ujasiri/kujiamini sana, sasa hivi mpaka mwenyewe anashangaa kwanza ndio ana wasiwasi na mie balaa,ameshangaa yule mcharuko wake amekuwaje siku hizi, anahisi yasiyopo na matisho juu.
Unadhani ukishajenga dhana ya ukaguzi utaacha kufikia hapo nilipobold?..
Ukishalijenga mawazoni wazo la kuwa huyu ataniumiza soon..huwezi kujizuia kushika simu yake..believe me!
yaani mdogo wangu, na utu uzima wangu huu, ukiona nasaliti ujue nimeamua, sihitaji kukumbushwa kuwa sipaswi kusaliti... na nikiona unanifwatilia nisisaliti nitatafuta njia nyingine ya kupita ili usinikamate. kwa hiyo wewe kila siku kazi yako itakuwa kufwatilia mbinu zangu mpya za kunikamata? utaweza?dahhhhh hongera sana dada Fixed Point kwanza kwa kujitambua na kujua sehemeu yako kama mke na pili kwa kupata mume mwelewa na tatu kwa kuithamni familia yako kwa ujumla.
ila tu dadaangu kwa mimi udhibiti ule wa kiasi wala haumaanishi kuwa humwamini mwenzi wako ila tu kama alivyofafanua dada AshaDii udhibiti wakati mwingine husaidia kutukumbusha pale ambapo huenda tumelega lega au tunaanza kujisahau au kusahau sehemu katika ndoa zetu na hii ni kwa sababu hatujakamilika so nadhani utakubaliana nami kuwa kutokana na kutokamilika kwetu tunahitaji kukumbushwa nyakati nyingine,na ndio maana makanisa na misikiti ipo si kwa kuwa wanadamu tunafanya dhambi nyakati zote kila saa,dk na sekunde,la ila ni kwa lengo la kutukumbusha mara kwa mara kwa kuwa tuna mapungufu mengi kama wanadamu.sijui point yangu kuhusu udhibiti imeeleweka hapo dada yangu?
hapo nilipobold SnowBall ndipo wengi wanapoharibu hiyo tunaita ni kutomwamini yule uliyenaye na ni udhibiti uliopita kiasi ambao haufai na unaweza kumpelekea mtu kufanya kweli,lakini udhibiti ninaouunga mono hapa ni ule aliojaribu kuudadavua vizuri sana pale dada AshaDii,wanadamu hatujakamilika na kwa hiyo huenda kuna wakati unaweza anza lega lega na hivyo kuhitaji kikumbusho na hapo ndipo ule udhibiti wa kiasi unapokuwa unahitajika.
kweli kabisa unaamini ukiwa unapekua simu ya mpenzio ataacha kukusaliti? kweli kabisa?
umeshawahi kuwasikia watoto wakikatazana kufanya kitu fulani sababu mama kakataza?
mara nyingi napendaga sana kufanyia kazi zangu nyumbani, huwa najifungia chumbani kwangu kiasi kwamba watoto hawajui kama nipo ndani. utasikia tu huko nje wanaonyana "wewe usishike hapo mama anasema utanaswa", natabasamu tu kuona somo limeingia
mimi ni mke, na ninajua kuwa ni mke wa mtu....
hata nilipokuwa kwa wazazi sikuwahi kurudi saa 8 usiku bila kuwaambia wazazi wangu kuwa naenda wapi na nitachelewa kurudi. nyumbani kwangu napenda (mimi pia nafanya hivyo) ninapoona nitachelewa kurudi nyumbani hata kama kwa nusu saa, huwa natoa taarifa kuwa nitachelewa kurudi. huwa nafanya hivi hata kwa msichana wa kazi. ikitokea mume kasafiri na nitachelewa kurudi huwa nampigia dada wa kazi kumwambia kuwa nitachelewa kurudi nyumbani.
huwa napenda kutoa taarifa siyo sababu nisifikiriwe vibaya, ila sababu mtu asiwe na wasiwasi kuwa nipo salama au la. mimi ni binadamu, chochote kinaweza nipata. mtu ajue kuwa nipo salama ila nimechelewa tu kurudi.
mdogo wangu, asilimia kubwa sana ya rafiki zangu ni wakaka, nje na ofisini. kwa hiyo huwa anajua kabisa nawasiliana/kutoka zaidi na wakaka kuliko wadada, na yupo sawa tu kwa hilo.
Unadhani ukishajenga dhana ya ukaguzi utaacha kufikia hapo nilipobold?..
Ukishalijenga mawazoni wazo la kuwa huyu ataniumiza soon..huwezi kujizuia kushika simu yake..believe me!
Okay..kwa hiyo unachosema ni 'scale' ya udhibiti kupishana..ryte?
Lakini tukatae tukubali kwenye aina yeyote ya udhibiti woga na kutojiamini kunakuwa kukubwa kuliko hata mapenzi yenyewe..hivi kama najitambua mkewangu anashindwaje kuniamini hata ninapokuwa na wadogo zake?
Ni kwa vipi nisiamini tu kuwa mkewangu yupo jf kwa nia njema
Kwa nini nihangaike na mi'passwords'?...lazima kuna sehemu lipo tatizo
Aidha ni woga ulonijaa/wivu ulopevuka au mwenzangu ni kicheche..
Katika the career world wanawake tuna disadvantage kubwa sana. Naamini kuna wanawake wengi tu walio ndani ya ndoa walipata opportunities za kuendeleza career zao na walikwama sababu tu ya nafasi na majukumu yao ndani ya familia.
Inategemea age ya watoto, circumstances and the like. You would understand why sometimes I would prefer to kijana wa kazi wa kiume, na why sometimes I would prefer kua na ndugu wa kike upande wa mume ndie aje abaki hapo nyumbani. Like you say, haya mambo ni magumu sana.
.Nilitolea mfano..kwa sababu huwa inatokea wenzi wanakuwa tayari wako kwenye udhibiti..
Hujawahi kusikia kwamba..'kama uko sehemu flani basi nipe flani niongee naye'?
Na nimeongelea udhibiti wa wazi ambapo mlengwa anajua kabisa anachungwa..
Sikatai kuwa na 'doubts' na mwenzio..lakini je umejiridhisha vya kutosha?
Na kama umejiridhisha uko tayari kwa maamuzi magumu in case...
Naomba kila mtu anayesoma hapa anisamehe tu......Katika the career world wanawake tuna disadvantage kubwa sana. Naamini kuna wanawake wengi tu walio ndani ya ndoa walipata opportunities za kuendeleza career zao na walikwama sababu tu ya nafasi na majukumu yao ndani ya familia.
Inategemea age ya watoto, circumstances and the like. You would understand why sometimes I would prefer to kijana wa kazi wa kiume, na why sometimes I would prefer kua na ndugu wa kike upande wa mume ndie aje abaki hapo nyumbani. Like you say, haya mambo ni magumu sana.
….JF ni kisima cha fikra, experiences na busara….
….hayo unayojiuliza, yamejibiwa vyema kabisa na….
yaani mdogo wangu, na utu uzima wangu huu, ukiona nasaliti ujue nimeamua, sihitaji kukumbushwa kuwa sipaswi kusaliti... na nikiona unanifwatilia nisisaliti nitatafuta njia nyingine ya kupita ili usinikamate. kwa hiyo wewe kila siku kazi yako itakuwa kufwatilia mbinu zangu mpya za kunikamata? utaweza?