Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

Tulieni hata nyie mtachanganyikiwa tu
Wewe umechanganyikiwa, halafu mlivyowajanja mkivurugwa mnawavuruga na wanaume makusudi tu, wewe unakopa huko kausha damu mwanaume humwambii km umekopa siku wanakuja kuchukua vitu ndio mwanaume anajua umekopa, huoni km unamvuruga?
 
Hiyo takwim yako umenifanyia wap na Kwa watu gan?? Maana umeeleza mfano wa hao unaowaona kwenye status zako ila huna uhakika
Mkuu hii takwimu nimeifanya kwa kutumia sampling ya wanawake wenye umri wa miaka nilioutaja hapo juu, ndio nikaja kwenye kuhitimisha hivyo lakini pia sio kitu cha muda mfupi hapana ni kitu nimekifuatilia kwa muda mrefu sana ila kwa sasa nimebaini idadi ya wanawake wenye msongo wa mawazo ni kubwa sana
 
Mkuu siku moja nenda viengo vya akili hospitalini ushuhudie mamia ya vijana wa kiume umri huo na digrii zao wanavyotiririka singeli. Wamevurugwa inasikitisha.
Mkuu kwa ulichoelezea na nilichoelezea vinakinzana, nitasema kwamba wewe umeeleza kwa angle yako na mimi nimeeleza kwa angle yangu ingawa unaposema vitengo vya akili wanaume wanaenda kwa wingi mimi pia nitakwambia jela na mahabusu pia wanaume wapo kwa wingi, hapo pia utasema ni sababu ya msongo wa mawazo au sio?
 
Upo sahihi kabisa mkuu suala zima la ukosefu wa ajira na mfumo wa elimu kuaminishwa kwamba ukisoma utakua na maisha mazuri wakati baadae unakumbana na kinyume chake pia inachangia msongo wa mawazo kwa wote sio wanawake na sio wanaume hilo sikupingi mkuu
 
Hebu jaribu kuvaa viatu vyao, una watoto wawili halafu huna kazi ya kueleweka. Ila wanawake nao bana, unaruhusu vipi watoto wawili na hujaolewa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu, umenitoa machozi kwa kunichekesha.
Kwamba umejaribu kuwatetea lakini ukajikuta unawakosoa tena, daaa. Umenikenusha meno mkuu nakula ujue hadi nimepaliwa,🀣
 
Sasa kutokuonyesha huoni ndio kunasababisha mnakufa haraka kuliko wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…