Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Lema hamna kitu kafanya Arusha zaidi ya kuota ilendoto kwamba prezidaa atakufa!! as if yeye hatokufa ndomana wanamwita nabii Tito!!
Safari hii hanachake bang zinampaga mihemuko sana huyu chalii

Sio kwa kura, labda kwa maagizo ya rais.
 
Sawa kabisa, na upo sahihi

Akibaki LEMA kwakweli ataipa picha mbaya sana CHADEMA kwasababu wananchi wengi hata wa Chadema wanalalamikia baadhi ya mambo mengi kuhusu Lema. Sina sababu ya kuyataja

Ila, akigombea Lema, CHADEMA itakuwa katika hali mbaya, Trust my words.
 
Ukitoka kwenye mwanga ukaingia kwenye giza tegemea vitu vyenye ncha kali. Ukija kwa ustaarabu utapata mrejesho wa kistaarabu fustop.
Kwahiyo kumuulizia mukya, nimekua siyo mstaarabu?
 

Ni kweli kabisa cdm inaweza kuwa katika hali mbaya, ila sio kwa sababu unazozisema ww. Mimi sio muumini wa kiongozi kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi, lakini hao watu toka ccm wameshachafua sana hali ya hewa kwa kwenda kuunga juhudi.
 
Hizo barabara zote madiwani na mbunge ndio waliomba mkopo ADB wakajenga vituo vya afya,miaka yote toka enzi ya batilda,mrema hela ilikua inatafunwa tu
barabara zipi? taja barabara
vituo vya afya vipi ...taja vituo hivyo vya afya

na habari bila udhibitisho sio habari bali ni porojo..naomba uweke link hapa kua adb waliwapa mkopo madiwani na mbunge kujenga barabara na vituo vya afya
 
Kuachiana? Dah! Akili zetu hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…