Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

barabara zipi? taja barabara
vituo vya afya vipi ...taja vituo hivyo vya afya

na habari bila udhibitisho sio habari bali ni porojo..naomba uweke link hapa kua adb waliwapa mkopo madiwani na mbunge kujenga barabara na vituo vya afya
Wanalipa halmashauri ya arusha mkopo,barabara za nhc makao mapya,njiro atomic,uswahilini mpka kwa mrombo...ulifikiria zimejengwa na gambo ungekua unasoma vibao wakati zinajengwa ungejua mfadhili ni nani
 
Kejeli zinaeleweka boss, labda kama unadhani unaongea na watoto.
Mleta mada kaleta bango linaeleza kabisa kuhusu kura za maoni za mbunge wa Jimbo na Viti Maalum. Navyojua Mimi mbunge wa Jimbo ambae anatetea kiti chake ni Lema na Viti Maalum ni Joyce Mukya. Sasa, maelezo ya humu yote yanaelezea kuhusu Lema na Bananga. Mimi nikaona siyo vibaya nikajua pia kuhusu Mukya kama anatetea nayeye kiti chake. Sasa hiyo nayo ni kejeli au ni ufahamu tu.
 
Hebu kaa kwa kutulia tafadhali.
 
18 Julai 2020

BREAKING NEWS : LEMA AMBWAGA BANANGA KURA YA MAONI UBUNGE ARUSHA MJINI

Godbless Lema amechaguliwa kwa mara ya tatu kugombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema baada ya kumbwaga aliyekuwa diwani wa Sombetini, Ally Bananga.

Godbless Lema alichaguliwa katika kura ya maoni kwa mara ya kwanza mwaka 2010 na kushinda ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka huo. Pia aliibuka na ushindi na kuchaguliwa tena kuwa mbunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Source : mwananchi digital
 
Bananga 10%...

Chadema bwana,watu wake ni watu fulani hivi very smart,wanajua kutambua jitu nafiki!

Bananga kala kokoto!

Kesho utasikia limehamia CCM kwa mshika kichwa wake snake motherfvcker Msando!

These are a bunch of losers!

Msando kura za maoni huko CCM hatapata zaidi ya 1%....

Manafiki ni manafiki...

Fvck em!
We bad boy killaz killaz killaz
 
Nzega Vijijini mambo ni [emoji91] Monika kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera Nzega vijijini CHADEMA DAIMA
20200710_180728.jpg
 
KUELEKEA 2020 CHADEMA KANDA MAGHARIBI

Source : CHADEMA MAGHARIBI
 
MHE LAZARO NYALANDO MWENYEKITI CHADEMA KANDA YA KATI AISHIKA CCM PABAYA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2020

Julai 2020
Mafuriko John Pambalu (CHADEMA) akirudisha Fomu ya Ubunge Jimbo la Nyamagana/Barabara zafungwa

18 Julai 2020
Njombe Mjini
Tanzania

Lazaro Nyalandu awataka wagombea CCM kupiga kampeni | CHADEMA ya 2020 siyo poa
Hayo yamesemwa wakati wa mchujo wa watia nia udiwani na ubunge kupitia CHADEMA ambapo mdahalo mkali ulikuwepo kuzungumzia vipaumbele vyao ili wateuliwe kuwakilisha CHADEMA mkoa wa Njombe ktk uchaguzi wa Oktoba 2020

Source: EastAfricaRadio
 
Back
Top Bottom