Nimesoma Shule Moja kuanzia Shule ya msingi na sekondari na Huyu Kaka angu John Justine Pambalu, Ila alikuwa ananizidi madarasa mawili tu nikiwa Form One yeye Form Three kusema kweli japo Mimi Ni Mwanachama wa CCM Huyu Bwana mdogo anakarama haswa ya Uongozi akiwa kiongozi wangu wa TYCS na akiwa Head Perfect wangu jamaa Ni mnyenyekevu Sana Hana dharau Wala majivuno zaidi alikuwa anapendwa Sana kuanzia walimu Hadi wanafunzi namtakia kila la kheri!!!Julai 2020
Mafuriko John Pambalu (CHADEMA) akirudisha Fomu ya Ubunge Jimbo la Nyamagana/Barabara zafungwa
Unaonaje CCM ikaacha umimi ikaichia nchi CHADEMA?Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga
Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.
Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.
Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Namuona kaiteka Nyamagana gafla sana, binafsi nilitegemea Wenje angerudi kwenye jimbo lake kumbe sio, kama uchaguzi ukiwa fair, CCM wanapigwa hapo.Nimesoma Shule Moja kuanzia Shule ya msingi na sekondari na Huyu Kaka angu John Justine Pambalu, Ila alikuwa ananizidi madarasa mawili tu nikiwa Form One yeye Form Three kusema kweli japo Mimi Ni Mwanachama wa CCM Huyu Bwana mdogo anakarama haswa ya Uongozi akiwa kiongozi wangu wa TYCS na akiwa Head Perfect wangu jamaa Ni mnyenyekevu Sana Hana dharau Wala majivuno zaidi alikuwa anapendwa Sana kuanzia walimu Hadi wanafunzi namtakia kila la kheri!!!
IKIPITA CHADEMA ARUSHA NAHAMA.NCHIView attachment 1510150
View attachment 1510151
Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe .
UPDATES: View attachment 1510291
Watanzania Imani na ChademaAisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga
Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.
Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.
Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Erythrocyte: natamani Siku moja nikuone"KARIBU ngyeke, Ipinda na Matema"Suala si kuachiana , ni suala la wapiga kura kuamua
Hongera sana naona Bananga ameshinda kwa kishindo kikuu.,hakika haijawahi kutokea Arusha.Twende na Bananga ....Arusha stand up [emoji123]
Ilikua 1 tu kama ile ya Mwenyekiti wa Ccm Taifa.Kina heche, Mdee, Bulaya, Sugu, Prof.J, wamepita kwa form ngapi?
Korogga uji unyweBananga mtupu kwenye siasa?utakuwa haumfahamu vizuri
Asiyejua maana...Kituo cha Mabasi kiko wapi mkuu? Machinga wanajiachia yes na wamefanya mji umekuwa mchafuuu hayo nayo ni maendeleo?
Hivi hawapewagi pesa za kuendeleza jimbo? Hawezagi hata kusaidia yatima lofa yule. Kwani Sugu kule Mbeya hugawa computer mashuleni ulimpa shilingi ngapi?? Usitetee upuuzi kisa uchama wewe... Lema anakopa mamilioni 600 bungeni kisa kununua magari na kuponda raha na familia yake, instagram hapost kazi zamaendeleo ni kupinga kazi za wengine na kumposti mkewe wakidansi!! Anawaona ninyi watetezi wake wapumbafu ninyi kutwa kumfagilia kisa hoja zakitoto hivi hawezi hata kushawishi wananchi kuchangia mambo ya msingi. Misibani ni siasa tuu hana hata hekima!! Far ken sana yule chaliiUlimpa shilingi ngapi Lema ya kufanya kitu?
Hivi hawapewagi pesa za kuendeleza jimbo? Hawezagi hata kusaidia yatima lofa yule. Kwani Sugu kule Mbeya hugawa computer mashuleni ulimpa shilingi ngapi?? Usitetee upuuzi kisa uchama wewe... Lema anakopa mamilioni 600 bungeni kisa kununua magari na kuponda raha na familia yake, instagram hapost kazi zamaendeleo ni kupinga kazi za wengine na kumposti mkewe wakidansi!! Anawaona ninyi watetezi wake wapumbafu ninyi kutwa kumfagilia kisa hoja zakitoto hivi hawezi hata kushawishi wananchi kuchangia mambo ya msingi. Misibani ni siasa tuu hana hata hekima!! Far ken sana yule chalii
IKIPITA CHADEMA ARUSHA NAHAMA.NCHI
AWE LEMA AWE BANANGA AWE....WEEE AWATONA RANGII MWKAAHUU
STY TUNED
Umesahau mke wake ni mbunge wa viti maalum chadema na m/mwenyekiti sijui wa nn sijui wa wanawake msaidizi wa halima mdee kwa hiyo ni ngumu kuhama hata akipigwa chini kwenye kura za maoni hawezi kuhama asilani
Mb WA WANANCHI BANA khaKwa kura ni lazima hao hao cdm washinde, ila kwa maagizo ya rais atakayetangazwa mshindi ni mbunge wa ccm.
Yaan wee ni mwana ccm Og [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah kweli mtaji wa ccm ni watu kama wwHAYA MAZAGAZAGA YA KUPIGIANA KURA SIJUI MSHINDI N MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA KODI ZETU WAB WANAJULIKANA MNGEJITAHIDI KUPELEKA VMAALUM WENYE AKILI NA HEKIMA SIO MABARASOSOSO WALIOPITA WANAKUJA KUWAUMBUA MWISHONI
NNQNYIE VMAALUM MSIKUBALI KUOMBWA MSITOE KAMA.IPO IPO TU WASIWATESE BUNGE SIOSWHEMUYA KUPISHIAAA SIZE ZA MIAHEDEDEE YAIO