Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Julai 2020
Mafuriko John Pambalu (CHADEMA) akirudisha Fomu ya Ubunge Jimbo la Nyamagana/Barabara zafungwa

Nimesoma Shule Moja kuanzia Shule ya msingi na sekondari na Huyu Kaka angu John Justine Pambalu, Ila alikuwa ananizidi madarasa mawili tu nikiwa Form One yeye Form Three kusema kweli japo Mimi Ni Mwanachama wa CCM Huyu Bwana mdogo anakarama haswa ya Uongozi akiwa kiongozi wangu wa TYCS na akiwa Head Perfect wangu jamaa Ni mnyenyekevu Sana Hana dharau Wala majivuno zaidi alikuwa anapendwa Sana kuanzia walimu Hadi wanafunzi namtakia kila la kheri!!!
 
Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Unaonaje CCM ikaacha umimi ikaichia nchi CHADEMA?
 
Nimesoma Shule Moja kuanzia Shule ya msingi na sekondari na Huyu Kaka angu John Justine Pambalu, Ila alikuwa ananizidi madarasa mawili tu nikiwa Form One yeye Form Three kusema kweli japo Mimi Ni Mwanachama wa CCM Huyu Bwana mdogo anakarama haswa ya Uongozi akiwa kiongozi wangu wa TYCS na akiwa Head Perfect wangu jamaa Ni mnyenyekevu Sana Hana dharau Wala majivuno zaidi alikuwa anapendwa Sana kuanzia walimu Hadi wanafunzi namtakia kila la kheri!!!
Namuona kaiteka Nyamagana gafla sana, binafsi nilitegemea Wenje angerudi kwenye jimbo lake kumbe sio, kama uchaguzi ukiwa fair, CCM wanapigwa hapo.
 
Julai 2020
Mwanza,Tanzania

Mwl. Greyson Wazangi Warioba atia nia Ilemela Mwanza
Watia nia wa CHADEMA ngazi ya ubunge waelezea mapungufu ya uongozi wa CCM Mpya ktk jimbo la Ilemela na kuahidi wakichaguliwa watamaliza changamoto hizo kwa kuibana serikali tofauti na mbunge wa CCM aliyemaliza ubunge wake aliyekuwa upande wa serikali na kuacha kuibana serikali ya CCM Mpya
 
Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Watanzania Imani na Chadema
 
Julai 2020
Iringa, Tanzania

CHADEMA MKOA WA IRINGA WAWEKA WAZI HILI
Kupitia Chadema ni msingi chama kimezidi kuimarika mkoani kote Iringa na kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba 2020 majimbo zaidi kwenda chini ya uongozi wa CHADEMA

Ulimpa shilingi ngapi Lema ya kufanya kitu?
Hivi hawapewagi pesa za kuendeleza jimbo? Hawezagi hata kusaidia yatima lofa yule. Kwani Sugu kule Mbeya hugawa computer mashuleni ulimpa shilingi ngapi?? Usitetee upuuzi kisa uchama wewe... Lema anakopa mamilioni 600 bungeni kisa kununua magari na kuponda raha na familia yake, instagram hapost kazi zamaendeleo ni kupinga kazi za wengine na kumposti mkewe wakidansi!! Anawaona ninyi watetezi wake wapumbafu ninyi kutwa kumfagilia kisa hoja zakitoto hivi hawezi hata kushawishi wananchi kuchangia mambo ya msingi. Misibani ni siasa tuu hana hata hekima!! Far ken sana yule chalii
 
Kwasababu unakuja na hoja za bendera fuata upepo, ndio maana unakuja na hadithi za kipuuzi ili kukidhi utoto wako. Huyo Lema ana programu ya kusomesha watoto 300+. Ana miradi mingi tu ametekeleza kwa hiyo fedha kiduchu ya mfuko wa jimbo. Ila kwakuwa uko hapa jukwaani ukisubiri story za wanaume wenzio, ndio maana unaishia kutapika upuuzi usio na kichwa wala miguu.
 
IKIPITA CHADEMA ARUSHA NAHAMA.NCHI
AWE LEMA AWE BANANGA AWE....WEEE AWATONA RANGII MWKAAHUU
STY TUNED

Kwa kura ni lazima hao hao cdm washinde, ila kwa maagizo ya rais atakayetangazwa mshindi ni mbunge wa ccm.
 
Mke wake hawezi kumzuia jamaa kuhama mbona kafulila mke wake alikuwa mbunge lkn jamaa kaunga juhudi mguu
Umesahau mke wake ni mbunge wa viti maalum chadema na m/mwenyekiti sijui wa nn sijui wa wanawake msaidizi wa halima mdee kwa hiyo ni ngumu kuhama hata akipigwa chini kwenye kura za maoni hawezi kuhama asilani
 
HAYA MAZAGAZAGA YA KUPIGIANA KURA SIJUI MSHINDI N MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA KODI ZETU WAB WANAJULIKANA MNGEJITAHIDI KUPELEKA VMAALUM WENYE AKILI NA HEKIMA SIO MABARASOSOSO WALIOPITA WANAKUJA KUWAUMBUA MWISHONI

NNQNYIE VMAALUM MSIKUBALI KUOMBWA MSITOE KAMA.IPO IPO TU WASIWATESE BUNGE SIOSWHEMUYA KUPISHIAAA SIZE ZA MIAHEDEDEE YAIO
 
Yaan wee ni mwana ccm Og [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah kweli mtaji wa ccm ni watu kama ww
 
Back
Top Bottom