Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Mbowe ana bifu za kishamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuliko kuwa na bunge la "opposition" NCCR, bora kujipanga tuanze upya 2025, Magufuli atapita, upinzani halisi utarejea.Mkuu Tindo, that is selfishness!.
Politics is a science, political science, nimewashauri Chadema wafanye SWOT na PEST ya wabunge wao wote. Matokeo yakionyesha mfano Lema anakubalika Arusha as Lema, Selasini Rombo as Selasini, Sugu Mbeya as Sugu, Prof. J Mikumi as J wa Mitulinga, hawa jamaa watachaguliwa tena vyama vyovyote watakavyo simama. Hivyo wakihama Chadema, Chadema ikubali ikatae itapoteza jimbo hilo. Wakihamia CCM, then Chadema isimamishe watu kuwapinga, lakini wakihamia NCCR, then Chadema usisimamishe mtu, maana ikisimamisha, hii itakuwa ni vita vya panzi, furaha kwa kunguru, kura za opposition zita split na wote watakosa na CCM kuibuka mshindi kwa kura chache kama ameokota dodo chini ya muembe.
Ni bora warejee Bungeni as NCCR kuliko kukosa wote na CCM kutwaa viti vyote. Hata kama Chadema na NCCR hawapikiki chungu kimoja, lazima wafanya political managing Diversity zao and work together against a common enemy.
Kwa hapo ilipo Chadema is already done, the only way out kwa Chadema to keep existing is towards working together, otherwise Chadema will perish na opposition Tanzania will perish, Bunge lijalo kwa huku bara litakuwa ni Bunge la CCM and CCM only!.
P
Hakuna uhakika wa 100% wa uwepo wa uchaguzi Octoba 2020 kama hali ya maambukizi ya CORONA itazidiSiasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.
Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafsi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.
Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.
Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.
Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
Pascal,umetoa point nzuri na pia tuangalie upande mwingine mpaka hili linafanyika yawezekana hao mawaziri vivuli wa vyama vingine kwa uzembe,au kwa maelekezo hawajaandaa budget mbadala.je ungekuwa wewe ndio KUB ungefanyaje ?Naunga mkono hoja, Chadema pekee yao hawawezi na haitakuja kutokea wakaweza!. Sisi Tanzania tuna tatizo kubwa la kitu kinachoitwa "Managing The Political Diversity" from both parties, CCM na Wapinzani, hadi ndani ya mihimili Bunge, Serikali na Mahakama.
Kwa muda uliobakia, hata kama Chadema inajua NCCR imenunuliwa na CCM, hivyo itajitenga nao, na Wabunge wote wa CUF wanasubiria tuu Bunge livunjwe watur rasmi ACT Wazalendo, Chadema walipaswa wawavumilie tuu, sometimes its good kumvumilia adui yako ili usiwaudhi wale waliokuja kwako kwasababu ya huyo adui yako. Kura milioni 6 za Lowassa ile 2015 sio za wana Chadema pekee.
Kosa kubwa la Chadema kuelekea 2020 ni kujidhania kwenye kambi ya upinzani, Chadema bado ni determinant, it's not!. Kuendelea 2020, Chadema is a dying horse, hivyo kitendo kama hiki cha kuihodhi kambi rasmi ya upinzani Bungeni, it's like a final kick of a dying horse.
Ili upinzani uweze kuvuna mavuno yoyote ya maana 2020 kwanza lazima Chadema wakubali kugawana himaya yake kwa kukubali ku share na vyama vingine vya upinzani.
Kabla ya Bunge kuvunjwa, Chadema ambacho kwa sasa ndio chama kikuu cha upinzani, kifanye SWOT na PEST analysis kwa Wabunge wake wote, matokeo ya analysis hiyo yakionyesha Mbunge huyu anachaguliwa kama mtu na sio chama, then Chadema ikubali matokeo, wabunge wote wa Chadema watakaojiunga CCM, Chadema ijihesabu hayo majimbo yamepotea unless wana CCM wenyewe ndio waipigie Chadema kura za chuki kutokubali wapinzani waja leo na kusimamishwa kugombea CCM.
Pili wabunge wote wa Chadema watakao hamia vyama vingine, Chadema ikubali to share them na wapinzani wengine kwa kutosimamisha wagombea wengine ili kila jimbo na kila kata mgombea wa CCM apambane na mpinzani mmoja tuu. Ikitokea jimbo lilikuwa Chadema kama Moshi Vijijini na Rombo, wabunge wake wwkahamia NCCR Mageuzi, Chadema ikubali matokeo. Ikisimamisha wagombea wapya, hii itakuwa ni vita vya panzi, furaha ya kunguru, wapinzani wata split kura zao, CCM atayatwaa majimbo ya upinzani kama ameokota dodo chini ya muembe.
Upinzani pamoja na tofauti zao za ndani, lazima wavumiliane by managing diversity kwa kushirikiana hivyo hivyo pamoja na tofauti zao, wasimame united and stand as one against a common enemy, vinginevyo kwa huku bara, tunarudi kuwa nchi ya chama kimoja CCM only and only CCM!.
P
Nipe faida zao kwa sasa kwenye hii katiba yetu mbovu ambayo imempa Rais madaraka Makubwa.
Bora ife kuliko kuzungukwa na manafikiUkawa imekufa rasmi.
Siasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.
Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafsi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.
Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.
Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.
Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
Wakati mwingine Mazingira na yana ashiria Na kuonesha kitu katika uhalisia wake, Na kisheria ushahidi wa kimazingira unaweza kumtia mtu hatiani na akahukumiwa hata kifo.
katika suala la T.A.L kuna vielelezo vingi vya mazingira ya kuwaficha hao wasiojulikana. kiasi ambacho Lamri zote zinaonesha hao watu ni washirika wa Team wafuga chatu.
Mkuu Mliberali, tunaweza kujadiliana kwa hoja bila kutukanana.Huu upuuzi wa pasco eti 'managing diversity', juzi ccm wamemtimua Membe na kuwakaripia wazee sikuona Uzi wa pasco kuishauri ccm management of diversity
Mkuu P unachemka
Vyeo hivyo vinawapa nafasi ya kuwa wajumbe wa kamati za kudumu za bunge zilizo chini za wizara husika.Hao wabunge vivuli wana privilege gani bungeni ?
Wewe ni baba, hao ni watoto wako, wakikuny.a mkono hauukati, unausafisha na kuendelea kumbeba mtoto, kama hawaja andaa unawaandalia na sio kuwatumbua.Pascal,umetoa point nzuri na pia tuangalie upande mwingine mpaka hili linafanyika yawezekana hao mawaziri vivuli wa vyama vingine kwa uzembe,au kwa maelekezo hawajaandaa budget mbadala.je ungekuwa wewe ndio KUB ungefanyaje ?
Mkuu Tindo, that is selfishness!.
Politics is a science, political science, nimewashauri Chadema wafanye SWOT na PEST ya wabunge wao wote. Matokeo yakionyesha mfano Lema anakubalika Arusha as Lema, Selasini Rombo as Selasini, Sugu Mbeya as Sugu, Prof. J Mikumi as J wa Mitulinga, hawa jamaa watachaguliwa tena vyama vyovyote watakavyo simama. Hivyo wakihama Chadema, Chadema ikubali ikatae itapoteza jimbo hilo. Wakihamia CCM, then Chadema isimamishe watu kuwapinga, lakini wakihamia NCCR, then Chadema usisimamishe mtu, maana ikisimamisha, hii itakuwa ni vita vya panzi, furaha kwa kunguru, kura za opposition zita split na wote watakosa na CCM kuibuka mshindi kwa kura chache kama ameokota dodo chini ya muembe.
Ni bora warejee Bungeni as NCCR kuliko kukosa wote na CCM kutwaa viti vyote. Hata kama Chadema na NCCR hawapikiki chungu kimoja, lazima wafanya political managing Diversity zao and work together against a common enemy.
Kwa hapo ilipo Chadema is already done, the only way out kwa Chadema to keep existing is towards working together, otherwise Chadema will perish na opposition Tanzania will perish, Bunge lijalo kwa huku bara litakuwa ni Bunge la CCM and CCM only!.
P
Hapa hata magufuli kawapiga bao. Maana kwenye nafasi za uongozi anao hadi waliokuwa upinzani na kugombea uraus kama kina anna mghwira.
Mbowe ye ukitofautiana nae tu ujue out. Hana uvumilivu wa kisiasa. Acha Magufuli awanyooshe tu maana wao wangeshika dola wangenyanyasa sana watesi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi Usipo ule uliokaangwa na mawese bado unapatikanaMagufuli kishakwama , aliahidi kuua Chadema kabla ya 2020 , kashindwa !
Halafu anashangiliwa..Siasa za Tanzania kichekesho sana.
Si upinzani wala CCM ni vituko tupu.
Sasa bunge lenyewe ni la mwisho kabla ya serikali mpya, hao mawaziri vivuli wapya watakao ziba nafasi hizi watafanya nini?
Na wa zamani waliotemwa wangekuwa na athari gani?
Kuna wakati unatakiwa kuwaacha watu kama hao na kutumia nafsi hiyo kujiimarisha kisiasa kwa kujisifu majukwaani hawa walitutendea ubaya huu lakini kwa vile sisi wakomavu wa kisiasa na sio watu wa visasi tumewaacha kwenye nafasi hizi ingiwa sababu na uwezo wa kuwatosa kama kisasi tulikuwa nao.
Mambo madogo kama haya ya uvumilivu ndiyo yana kuwezesha kuvuna pointi muhimu kwenye siasa, hasa kwenye masanduku ya kura.
You can act like you live what you preach.
Wapiga kura ni watu wa ajabu sana, wanaweza kukupa kura sababu umewataja kwa majina angalau watu wawili tu wa kawaida wa eneo lao, au umewapa msamaha watu waliokutendea ubaya.
Huenda sipo sahihi kabisa katika hili, ngoja niamini KUB yupo sahihi.
Wewe ni baba, hao ni watoto wako, wakikuny.a mkono hauukati, unausafisha na kuendelea kumbeba mtoto, kama hawaja andaa unawaandalia na sio kuwatumbua.
P