MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Hakutakua na huo mkutano. Wanatumia hiyo platform kuhalalisha udhalimu waliofanya januari. Hawajiamini wameamua kufumba macho. This time hawachomoki. CCM wakumbuke baada ya hayo yote inabidi warudi kwa wananchi kuuza sera zao. Hapo ndipo watakutana na wasijotarajia. Wameruka mkojo ila watakachokanyaga watajutaMkutano Mkuu una hadhi yake, ndicho chombo kikubwa zaidi kwenye chama au taasisi kinachotoa maamuzi ya mwisho.
Mkutano Mkuu wa CCM una wajumbe takriban 2,000 kutoka mikoa yote Tanzania, unahusisha vitu vingi, kupata taarifa kutoka kila mkoa, wilaya, jimbo, jumuia za chama nk, unahusisha wajumbe kujadiliana, kupongezana, kukosoana, maswali na majibu baadae mkutano kutoka na maazimio ya pamoja. Interaction ya wajumbe uso kwa uso matters a lot.
Haya yote hayawezi kufanyika mtandaoni kwa muda wa nusu saa au saa moja, kingekuwa kikao cha NEC au Kamati kuu inayohusisha wajumbe wachache sawa. Kwanza teknolojia yetu huko vijijini bado duni.
Labda watuambie Mwenyekiti anakuja kutoa taarifa ya jambo fulani lakini sio kutuambia ni Mkutano Mkuu.
Hatukatai mabadiliko tunachohoji ni utekelezaji wake, ni sawa na kusema utafanya kampeni ya urais nchi mzima kwa njia ya mtandao bila kwenda vijijini.Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyofanywa 29 may 2025 uliyazingatia?
Endapo mkutano kwa njia ya mtandao utafanyika basi mfahamu ya kuwa:-
Mama 3 - 0 Polepole.
😂Online meeting ya mama
hakuna rangi wataacha kuonaKarma inajirudia walichofanya kwa lissu naona wanakifanya kwao
ni kituko mkutano mkubwa kama ule kufanyika mtandaoniMsajili Francis Mutungi aingilie kati
Inadaiwa mabadiliko ya katiba ya 29 may 2025 yametoa rukhusa kwa utekelezaji kama huo kufanyika.Hatukatai mabadiliko tunachohoji ni utekelezaji wake.
Kama ww ndo ungekua Francis Mutungi ungeweza? 😂Msajili Francis Mutungi aingilie kati
Yaani tayari ni technical knockoutHapa mama anataka kuwapiga knock out
Sawa hata kampeni ya urais aifanyie mtandaoni asiende vijijini si wanamjua. Tumeambiwa Tanzania tunaongoza Afrika kwa kutumia internet.Hii ni dunia ya sayansi na teknolojia wewe
Acha umashambani!
Kabobea kwenye ujinga!! Na kama kabobea kwenye ujinga hatusemi siasa tunasema si-HASA.Jk hamumuwezi, huu mwanasiasa aliebobea
Mkutano Mkuu wa Mitandaoni ni ujinga wa pili uliopitishwa na Mkutano mkuu uliompitisha mgombea haramu kuogombea Urai...s.Mkutano Mkuu una hadhi yake, ndicho chombo kikubwa zaidi kwenye chama au taasisi kinachotoa maamuzi ya mwisho.
Mkutano Mkuu wa CCM una wajumbe takriban 2,000 kutoka mikoa yote Tanzania, unahusisha vitu vingi, kupata taarifa kutoka kila mkoa, wilaya, jimbo, jumuia za chama nk, unahusisha wajumbe kujadiliana, kupongezana, kukosoana, maswali na majibu baadae mkutano kutoka na maazimio ya pamoja. Interaction ya wajumbe uso kwa uso matters a lot.
Haya yote hayawezi kufanyika mtandaoni kwa muda wa nusu saa au saa moja, kingekuwa kikao cha NEC au Kamati kuu inayohusisha wajumbe wachache sawa. Kwanza teknolojia yetu huko vijijini bado duni.
Labda watuambie Mwenyekiti anakuja kutoa taarifa au anahutubia wajumbe lakini sio kutuambia ni Mkutano Mkuu.
Na ilipangwa zamani,kesho ni kutimiza TU, ndio sababu wakabadili katiba ya ccm ili kutumia mtandao kufanya mkutano huo.Yaani tayari ni technical knockout
Posho tutalipwq na nani.Mbona nahisi tunaenda kufanya kazi ya hisani.Makatibu walivyo na njaa watatulipa kweli?Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417211
Britanica juzi alisema mkutano Mkuu maalumu utafanyika Agosti 16.Britanicca kapigwa kibano, hana ubavu wa kusikia chochote sasa hivi.
Britanica aliondolewa kile kitengo muhimu, siku hizi anapiga ramli TU.Posho t
Posho tutalipwq na nani.Mbona nahisi tunaenda kufanya kazi ya hisani.Makatibu walivyo na njaa watatulipa kweli?
Britanica juzi alisema mkutano Mkuu maalumu utafanyika Agosti 16.
Au alisikia vibaya.
Ajabu ni kwamba barua ya kuahirisha kikao Cha Kamati kuu hakusaini Makala na huu mkutano Mkuu hakutangaza yeye.Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyofanywa 29 may 2025 uliyazingatia?
Endapo mkutano kwa njia ya mtandao utafanyika basi mfahamu ya kuwa:-
Mama 3 - 0 Polepole.