Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaPoor chadema,wananchi huduma bora za afya,elimu bora,umeme,miundo mbinu bora nk.sio maandamano ambayo yanawapotezea muda wao,sijui kuna shida gani kwenye mabichwa yenu ninyi wafuasi wa chadema.
Itawachukua miaka 1000 kuchukua uongozi wa nchi hii.
Cc m bado wanafikiri nchi hii ni Mali Yao. Mpaka siku wakishutuka it will be too late. Sikio la kufa halisikii dawa.,miaka 30 wanatawala kwa wizi wa kura, na kibaya zaidi hawaheshimu hata sheria walizo jitungia wenyewe. Halafu eti wanataka kutawala milele!
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi.
Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema.
Habari zinaeleza kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu amepangiwa kuvurumisha Maandamano hayo katika mikoa mitano ambayo ni Arusha, Manyara, Singida, Dodoma na Morogoro.
Usiondoke JF, hii ni kwa sababu kuna taarifa zaidi zinakuja.
=======
Taarifa nyingine inaonyesha kwamba Mwamba Kabisa Freeman Mbowe atavurumisha Maandamano hayo Bukoba Mjini , Shinyanga , Geita , Bariadi Mjini , Musoma Mjini , Mwanza , Tanga na Kilimanjaro.
---
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeweka hadharani ratiba ya kufanyika kwa maandamano nchi nzima huku mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu wakigawana mikoa kuyaongoza.
Maandamano hayo ni matokeo ya mkutano wao uliofanyika Machi mwaka huu mkoani Mtwara ambako chama hicho kilikuja na Azimio la Mtwara lililolenga kufanya maandamano kwenye mikoa yote kuanzia Aprili 22 hadi Aprili 30.
Agenda za kufanyika kwa maandaano hayo ni katika kufikisha kilio cha uwepo maisha magumu kwa wananchi, kuendelea kusisitiza madai ya Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ambayo imeshaanza kutumika.
Pia, maandamano hayo, yanalenga kupaza sauti ya namna gani nchi inaweza kukabiliana na majanga ikiwamo mafuriko ambayo yameikumba mikoa mbalimbali kwa sasa kutokana na vua zinzoendeea kunyesha nchi nzima.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Aprili 18,2024, kuhusu maandalizi ya maandamano hayo yalipofikia hadi sasa, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amesema baada ya tangazo hilo la Azimio la Mtwara, maandalizi yanaendelea kufanyika na kama chama baada ya kufanya tathimini ya mambo mbalimbali ikiwamo ya hali ya hewa na kuamua kuyagawa kwa awamu mbili.
==================
Opposition party CHADEMA has publicly announced the schedule for nationwide demonstrations, with the party's chairman, Freeman Mbowe, and the Vice Chairman for Mainland, Tundu Lissu, dividing the regions to lead them.
These demonstrations are the result of their meeting held in March this year in Mtwara region, where the party came up with the Mtwara Resolution, which aimed to organize demonstrations in all regions from April 22nd to April 30th.
The objectives of these demonstrations are to address the hardships faced by the citizens, continue to emphasize the demand for a new constitution, and advocate for an Independent Electoral Commission, which is already in operation.
Additionally, these demonstrations aim to raise awareness on how the country can cope with disasters, including the current floods affecting various regions due to ongoing heavy rainfall throughout the country.
HakikaCc m bado wanafikiri nchi hii ni Mali Yao. Mpaka siku wakishutuka it will be too late. Sikio la kufa halisikii dawa.,miaka 30 wanatawala kwa wizi wa kura, na kibaya zaidi hawaheshimu hata sheria walizo jitungia wenyewe. Halafu eti wanataka kutawala milele!
nadhani debt unashida na wachaga tu maana imebidi nianze kutafuta teuzi za tra sijaona mchaga zaidi ya Kitilya tu na nina marafiki wengi tu wapo huko na si wachaga. Hebu kwenye ukweli tuweke ukweli tusipende leta ubaguzi kwa taarifa za uongo. au ulikosa kazi kwa wajamaa hukoRsimali fedha za nchi. Wananyonya mpaka mifupa. Halafu wanavutana wao kwa wao ndo mana hatuwezi kuwapa nchi mana serikali yote itageuzw kuwa ya wachaga kama ilivyo TRA nk
Muulize Sugu na MsigwaKwa kuwa wizi bafo upo, watu waache kukemea wizi?
Wewe umelala na bahasha wako mnajambiana unauliza maandamano yalileta nn. Toka ukaungane nao ili upate kusudio la ukitakacho.Maandamano yaliyofanyika yalileta nini?
Upinzani mnawafanya wananchi wajinga
Maandamano hayana impact yoyote hamgusi kunakohusika
Yote serikali inafanya mnaangaalia hamuitishi vyombo vya habari..
Mpo kimyaaaaaa
Mnakuja kutuambia maandamano
Mstutanie!