Ni wajanja sana hawakamatiki wale. Kabla hawajaiba wanamuomba mungu kinafiki kwanza ndo mana pasaka na Christmas wakienda kwao wizi unapungua mjiniKwenye hii ripoti ya CAG wamekamatwa wachaga wangapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wajanja sana hawakamatiki wale. Kabla hawajaiba wanamuomba mungu kinafiki kwanza ndo mana pasaka na Christmas wakienda kwao wizi unapungua mjiniKwenye hii ripoti ya CAG wamekamatwa wachaga wangapi ?
chachamataChama cha Maandamano Tanzania
Zitto hayuko ChademaWazee wa Nusu Mkate hao walishatulia kipindi cha Magu kulikua kuna kelele za wapinzani Zitto mwenyewe yuko chali
Kwahiyo ugumu wa maisha, katiba Mpya hayo yote hayawagusi wananchi hivi uko CCM Huwa wananya nini mpaka mnakuwa machoko hivyo?Maandamano yaliyofanyika yalileta nini?
Upinzani mnawafanya wananchi wajinga
Maandamano hayana impact yoyote hamgusi kunakohusika
Yote serikali inafanya mnaangaalia hamuitishi vyombo vya habari..
Mpo kimyaaaaaa
Mnakuja kutuambia maandamano
Mstutanie!
Ningekuwa kamanda wapolisi ningetoa kichapo cha mbwa koko kwa lisu na mbowe wakome kabisa kuja na ajenda za kitoto namna hii
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi.
Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema.
Habari zinaeleza kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu amepangiwa kuvurumisha Maandamano hayo katika mikoa mitano ambayo ni Arusha, Manyara, Singida, Dodoma na Morogoro.
Usiondoke JF, hii ni kwa sababu kuna taarifa zaidi zinakuja.
=======
Taarifa nyingine inaonyesha kwamba Mwamba Kabisa Freeman Mbowe atavurumisha Maandamano hayo Bukoba Mjini , Shinyanga , Geita , Bariadi Mjini , Musoma Mjini , Mwanza , Tanga na Kilimanjaro.
---
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeweka hadharani ratiba ya kufanyika kwa maandamano nchi nzima huku mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu wakigawana mikoa kuyaongoza.
Maandamano hayo ni matokeo ya mkutano wao uliofanyika Machi mwaka huu mkoani Mtwara ambako chama hicho kilikuja na Azimio la Mtwara lililolenga kufanya maandamano kwenye mikoa yote kuanzia Aprili 22 hadi Aprili 30.
Agenda za kufanyika kwa maandaano hayo ni katika kufikisha kilio cha uwepo maisha magumu kwa wananchi, kuendelea kusisitiza madai ya Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ambayo imeshaanza kutumika.
Pia, maandamano hayo, yanalenga kupaza sauti ya namna gani nchi inaweza kukabiliana na majanga ikiwamo mafuriko ambayo yameikumba mikoa mbalimbali kwa sasa kutokana na vua zinzoendeea kunyesha nchi nzima.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Aprili 18,2024, kuhusu maandalizi ya maandamano hayo yalipofikia hadi sasa, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amesema baada ya tangazo hilo la Azimio la Mtwara, maandalizi yanaendelea kufanyika na kama chama baada ya kufanya tathimini ya mambo mbalimbali ikiwamo ya hali ya hewa na kuamua kuyagawa kwa awamu mbili.
==================
Opposition party CHADEMA has publicly announced the schedule for nationwide demonstrations, with the party's chairman, Freeman Mbowe, and the Vice Chairman for Mainland, Tundu Lissu, dividing the regions to lead them.
These demonstrations are the result of their meeting held in March this year in Mtwara region, where the party came up with the Mtwara Resolution, which aimed to organize demonstrations in all regions from April 22nd to April 30th.
The objectives of these demonstrations are to address the hardships faced by the citizens, continue to emphasize the demand for a new constitution, and advocate for an Independent Electoral Commission, which is already in operation.
Additionally, these demonstrations aim to raise awareness on how the country can cope with disasters, including the current floods affecting various regions due to ongoing heavy rainfall throughout the country.
Sasa ndio hujawa tenaNingekuwa kamanda wapolisi ningetoa kichapo cha mbwa koko kwa lisu na mbowe wakome kabisa kuja na ajenda za kitoto namna hii
Wamevurugwaa ufipa!hahaaaaa nimecheka kwa sauti yaani walichofanikiwa ni kupata jina jipya la tume ya uchaguzi wakafurahiiiiiiiii kuwa maandamano yao yamezaa matunda uwiiiiii hamnazo kweli chadema
Mmeshindwa kununua hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama, hiyo miundombinu mraiwezea wapi?Mafuriko yanasababishwa na miundo mbinu mibovu , Tukiinga madarakani 2025 kama ilivyopangwa na Mungu tutarekebisha jambo hilo
Uko nyuma ya muda mno !Mmeshindwa kununua hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama, hiyo miundombinu mraiwezea wapi?
Ebu ni-update tuone!Uko nyuma ya muda mno !
Ninayo MkuuUnayo macho ?
Yalete matumaini na maisha bora kwa mwananchiwenyewe wanajua faida zake we ulitegemea yalete nini
Yule Mwashambwa, akisema chochote, mpuuze tu. Bila shaka kichwani kwake hakupo sawa. Ni wa kuhurumiwa. Zaidi wazazi wake ambao walimtegemea kijana wao angekuwa na utimamu wa akili, lakini kwa bahati mbaya ameishia hapo alivyo.Chawa walisema tundu lissu kabamia act
Hongera kwa Mbowe na Lisu posho watakazopata za hizo safari si haba
Ruzuku ya Chadema wanaifaidi kwa kweli
Ninayo Mkuu
Tuambie impact ya maandamano yaliyofanyika?
Wizi umeisha serikalini
Ugumu wa maisha umeisha
Serikali Bunge Mahakama wanapitisha sijui sheria matamko matangazo kila kukicha
Ufujaji wa pesa
Teuzi haziishi
Nini ninyi mnaona ambacho wengine hatuoni?
Msibeze mbio za mwenge Maandamano haya pia ni sawa na mbio za Mwenge kimtindo