Hongera kwa Mbowe na Lisu posho watakazopata za hizo safari si habaView attachment 2967314
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi.
Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema.
Habari zinaeleza kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu amepangiwa kuvurumisha Maandamano hayo katika mikoa mitano ambayo ni Arusha, Manyara, Singida, Dodoma na Morogoro.
Usiondoke JF, hii ni kwa sababu kuna taarifa zaidi zinakuja.
=======
Taarifa nyingine inaonyesha kwamba Mwamba Kabisa Freeman Mbowe atavurumisha Maandamano hayo Bukoba Mjini , Shinyanga , Geita , Bariadi Mjini , Musoma Mjini , Mwanza , Tanga na Kilimanjaro
Ruzuku ya Chadema wanaifaidi kwa kweli