Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

Poor chadema,wananchi huduma bora za afya,elimu bora,umeme,miundo mbinu bora nk.sio maandamano ambayo yanawapotezea muda wao,sijui kuna shida gani kwenye mabichwa yenu ninyi wafuasi wa chadema.

Itawachukua miaka 1000 kuchukua uongozi wa nchi hii.
Haya

 
Cc m bado wanafikiri nchi hii ni Mali Yao. Mpaka siku wakishutuka it will be too late. Sikio la kufa halisikii dawa.,miaka 30 wanatawala kwa wizi wa kura, na kibaya zaidi hawaheshimu hata sheria walizo jitungia wenyewe. Halafu eti wanataka kutawala milele!
 
Hakika
 
Rsimali fedha za nchi. Wananyonya mpaka mifupa. Halafu wanavutana wao kwa wao ndo mana hatuwezi kuwapa nchi mana serikali yote itageuzw kuwa ya wachaga kama ilivyo TRA nk
nadhani debt unashida na wachaga tu maana imebidi nianze kutafuta teuzi za tra sijaona mchaga zaidi ya Kitilya tu na nina marafiki wengi tu wapo huko na si wachaga. Hebu kwenye ukweli tuweke ukweli tusipende leta ubaguzi kwa taarifa za uongo. au ulikosa kazi kwa wajamaa huko
 
Kwa kuwa wizi bafo upo, watu waache kukemea wizi?
Muulize Sugu na Msigwa

Tukisema upinzani bongo ni usanii muwe mnaelewa

Sugu kwenda Nyasa kuacha Mbeya wenye chama wameshakula kichwa
 
Wewe umelala na bahasha wako mnajambiana unauliza maandamano yalileta nn. Toka ukaungane nao ili upate kusudio la ukitakacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…