Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Kumbe nchi ndio ya kibwege kupitiliza. Jiji kuu la kibiashara halina coverage ya huduma muhimu ya maji miaka 60 baada ya uhuru. Kwetu kuna kisima ila sikuwahi kuwaza majirani wasio na visima wanaishije
 
Ka senge vileeee
Baba ako unajua Kwanini anavalishwa diaper Sasa hivi?Maza ako unajua Kwanini fistula inamsumbua?

Watajie jina langu watakwambia nilichowafanya mtoto mzuri.
 
Acheni cheap politics ishu ndege si zipo na zinaonekana!? Hao watangulizi walishindwa nini kukopa wakanunua ndege na wao
 
JPM angekuwa hai angefanya nini na maji yapatikane na hiki kiangazi kilichopo nchi nzima?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mbwa walishauriwa na Mnyika kipindi akiwa bungeni wajenge bwawa la kutosha la kuvuna maji. Ila kwa kuwa hawa kenge kila wazo la wapinzani wanalichukulia negative, matokeo ndiyo haya. Kwanza hatuna teknolojia nzuri ya ku harness maji. Maji mengi yanapotelea ardhini na kuingia baharini. Linchi la ovyoovyo tu
 
Mkuu nchi hii ina kundi kubwa la watu wasio na hata chembe ya uelewa wanasubiri kupata mlo, kushiba na mwisho wafe full stop.
 
Yes,tunapaswa kuwaza hivi kama Mnyika alivyowaza.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tufanye upo sahihi, unataka kunambia tunabisha hapa na wewe unatumia hoja zinazozalishwa na takwimu mfu za hawa wachumia tumbo ambao wanatumia hali zetu za ukabwela kudanga mataifa ya ulaya wakiomba misaada kama watu wasio na akili ya kujenga vyanzo vya Mapato.

Hebu acha kuchuma dhambi ya kuwatetea wadhalimu hawa. Maji yapo na mipango ya kuhifadhi maji katika dhalula kama hizi yapo pia. Wanachofanya ni kucheza na akili yako kikwambia changamoto za kutengeneza.

Usijidanganye hata siku moja kusikiliza report za hawa jamaa wanapika sana mambo.
 
Maji yamepungua mto Ruvu hakuna cha Magufuli angekuwepo wala nini acheni kumfanya huyo mtu kama Mungu, ilitokea bahati nzuri katika kipindi chake halikutokea tatizo kama hili basi.
Mimi nalima mchele hapa. Maji ya kumwagilia natoa mto ruvu nenda pale bagamoyo katazame schemenya mchele kama imesimama.

Msiwe mnakubali mambo kirahisi .
 
Typing error dogo mbona unakuwa jeuri.
 
Hamna mtu anajali khs sababu zao TUNATAKA MAJI, FULL STOP.
Kama hawawezi waachie ngazi tupate watu wanaoweza kujiongeza na kuleta maji.
Anakaa anatetea uzembe na wakati watu wanacheza na akili za wengine.

Wewe kusupply maji kamkoa kama Dar na watu wanalipa bili unafeli wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…