Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

2008 walikata umeme Zenji, kwa muda wa mwezi ivi, haha
Wazee wa kazi walilamba nyaya zote zile za njia kubwa,
Huu ndio muda wa kunyanya mabomba na nyaya ....hakuna namna.

Sijui imekuwaje ukija huku umeme hola ukirudi kule umeliwa na maji.
 
Huu mgao ufuatwe maana hatujaona maji for weeks
 
Kwa style hii ya uongozi lazima atakumbana na maandamano na anavyopenda kuwafurahishi wazungu hataweza kumtaka maneno kama ya Mruto. Ni suala muda tu.
 
Heh jmn [emoji23][emoji23][emoji23]
 
kumbe wilaya ya Temeke,kigamboni, Ubungo na Ilala mamabo waaaa...! shida ipo huku kwetu Wilaya ya Kinondoni yote [emoji57][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Walimchukia Jiwe Mwamba, walisahau mambo muhimu wanayo ya hitaji haya sasa kumekucha umeme,maji,machinga, tozo, foleni za kikuda n.k kiufupi kimeumana tutakoma ubishi [emoji18]

(TUKUTANE 2025)
 
kumbe wilaya ya Temeke,kigamboni, Ubungo na Ilala mamabo waaaa...! shida ipo huku kwetu Wilaya ya Kinondoni yote [emoji57][emoji848][emoji848][emoji848]
Masaki, obei, mikocheni ni kinondoni pia... ni kwamba kwa walala hoi sijui tegeta huko pipe yao imepigwa pini...
 
Na huku Kahama maji yamekatika bila taarifa sijui ndio mgao na hiv tumezoea maji huwa hayakatik hivyo kwa upande wangu sina kbs maji[emoji24]
 
Na huku Kahama maji yamekatika bila taarifa sijui ndio mgao na hiv tumezoea maji huwa hayakatik hivyo kwa upande wangu sina kbs maji[emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole anza kusaka mabwawa mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…