Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Siishi Masaki wala Oysterbay na sijawahi katiwa maji.
 
Sijapenda kabisa
 
Tutajifunza kurecyle mikojo na jasho kipindi hiki.

Hakika KAZI IENDELEE
 
Warioba juzi kasema ameanza kuona nchi ikirudi kwenye matabaka taratiiibuuu.

Jenerali ulimwengu naye akasema Hangaya haijui hii nchi,Hizo ni mvi zinaongea mimi nani niongee Zaid ya kuishia kuitwa Sukuma gang.

Haya mtupandishie na nauli tu kwenye daladala muendelee kufungua nchi
 
Duh

Ova
 
Maisha sio mchezo, Joto kali, umeme hakunaa, maji nayo ya mgao
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Maji yamepungua ruvu,unataka serikali ikojoe maji!!?..maintanance haikufanyika wakati wa magu tanesco,waliogopa kutumbuliwa,mfumo umechakaa,hutaki wafanye maintanance!!?
 
"Watanzania mna tabia ya kumkumbuka mtu akishafariki, na mimi nasema mtanikumbuka tena kwa mazuri na siyo mabaya" Siku hizi laana zinafika mapema sana Wakuu.
 

Attachments

  • ALISHASEMA MAGUFULI SIKU MOJA MTANIKUMBUKA...'R.I.P RAIS MAGUFULI 1959 -2021 (360p).mp4
    1.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…