Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Anae wajua Wazungu ni bashiteMbowe anaamini kuwa wamarekani watamsaidia kurudi bungeni 2021. Hawajui wazungu huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anae wajua Wazungu ni bashiteMbowe anaamini kuwa wamarekani watamsaidia kurudi bungeni 2021. Hawajui wazungu huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna haja ya kulivunja jeshi la Polisi na kuliunda kivingineHao mapolisi nao wanapenda kutupiga fix......
Taarifa zao za kiintelejensia zinaishia kwenye vyama makini vya upinzani
Mbona intelejensia yao "haijamulika" kwenye mahubiri ya Mwamposya huko Moshi kuwa yataleta maafa makubwa sana?
Ana [emoji735]Huyo ana wasiwasi wanawe wanasoma Marekani!
Mbona serikali inamlipa makonda?Mnawezaje hata kumlipa Mshahara mtu kama huyo?
Safari hii mtaongea maneno yoteMbowe anatembelea nyota ya Zitto!
Kama ilivyo kutumbua na kuapisha kila siku?Hivi kuna upuuzi zaidi ya huu wa kuongea na waandishi wa habari kila mara halafu hakuna manufaa ya hayo maongezi baada ya hapo, si upotevu wa muda tu.
Kuna wakubwa wa Polisi majina yao yapo kwenye kitabu cha USA
"ana" au "hana"!!??Huyo ana wasiwasi wanawe wanasoma Marekani!
Alafu Form 6 kazungusha yai, bado anawamiliki wafuasi, sijui watapata zero wote haa
Wewe mtu zamani nilikuwa nakuona mtu smart sana kumbe hopeless kabisaMm nawaonea huruma sana Chadema, wamekuwa vichwa havifikiri kabisa, Mbowe kawaloga nadhani
Hakuna mwanaccm smartWewe mtu zamani nilikuwa nakuona mtu smart sana kumbe hopeless kabisa
Utafuatilia tu hata kwa siriKesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.
Mm nawaonea huruma sana Chadema, wamekuwa vichwa havifikiri kabisa, Mbowe kawaloga nadhani
Hukualikwa hutaalikwa na hayakuhusu.Kesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.
Makonda alikuwa Tanzania One MWAKA 1987Alafu Form 6 kazungusha yai, bado anawamiliki wafuasi, sijui watapata zero wote haa