Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Hao mapolisi nao wanapenda kutupiga fix......

Taarifa zao za kiintelejensia zinaishia kwenye vyama makini vya upinzani

Mbona intelejensia yao "haijamulika" kwenye mahubiri ya Mwamposya huko Moshi kuwa yataleta maafa makubwa sana?
Kuna haja ya kulivunja jeshi la Polisi na kuliunda kivingine
 
Atangaze maandamano ya kuunga mkono hatua za mabeberu kulinda demokrasia nchini.
Atangaze kutisha mkutano wa hadhara na wananchi atufafanulie sera za chama kinaga ubaga.
 
Kesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.
Hukualikwa hutaalikwa na hayakuhusu.
Pangeni mchakato wa mauaji maana ndicho mnakiweza.
 
Back
Top Bottom