Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Wewe uliyepata A+ katika History na kuwa na uwezo wa kufahamu hata majina ya watoto wa Carl Peters na yeye aliyezungusha yai shule lakini baada ya shule katika Business Administration(Practical) mtaani kagonga A++ nani genius?
Baki na ubozi wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anawaongoza wajinga wenzie kule moshi
 
Nadhani hii tabia ya viongozi wa CCM na UVCCM iliyojitokeza kutangaza kutaka viongozi wa upinzani wauwawe na jeshi la Polisi kutochukua hatua ataizungumzia kwa uzito mkubwa sana.
Makosa hayo yangetendwa na wengine hekaheka ingekuwa sio ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mlinda magari kwenye geti la lumumba utamjulia wapi Bilionea Mbowe ? Kwa faida yako na mbumbumbu wengine wa kiwango chako , Baba yake Freeman ndiye aliyempa nauli Mwl Nyerere kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru mnaoutumia kuteka na kuua watu
Wazee wa Kinyasa Mbowe na Kambona walitumwa na mzee Kawawa wampelekee nauli mwalimu Nyerere.......sema tu mzee Mbowe alikuwa mwaminifu ingekuwa ni huyu Freeman angetokomea na hiyo nauli akale bata!
 
Hivi kuna upuuzi zaidi ya huu wa kuongea na waandishi wa habari kila mara halafu hakuna manufaa ya hayo maongezi baada ya hapo, si upotevu wa muda tu.
Matokeo autayaona wewe ulie vaa miwani ya mbao.waambie buku Saba wenzio nini kina fanyika Sasa wb.hayo ndio matokeo hayaji haraka kama unavyodhani wakati ni ukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandalizi yamekamilika na wote mnakaribishwa
 
Marekani wanayo orodha ya watu zaidi ya 200
Ma-fisiem yameshirikiana na Mwamposa kupiga tukio kule Moshi ili kutupotezea attention ya action ya Marekani. This time around all eyes are focused on US actions vs manyang'au ya awamu ya 5.

Viva US! Viva Chadema! Viva Democratia!
 
Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA
na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Tumekupata katibu mwenezi wa sera na itikadi
 
Kesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.
Watu tuko bize na huu mkutano wa Mwenyekiti Mbowe. Labda nyie NZIGE WA KIJANI muwe na hotuba ya raisi ila kama kunadalili ya kumtumbua bashite naweza chungulia kidogo
 
Back
Top Bottom