Aende msibani asituchoshe, Moshi ndio ngome yao hebu wakazike wapiga Kura wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende msibani asituchoshe, Moshi ndio ngome yao hebu wakazike wapiga Kura wao
Anawaongoza wajinga wenzie kule moshiWewe uliyepata A+ katika History na kuwa na uwezo wa kufahamu hata majina ya watoto wa Carl Peters na yeye aliyezungusha yai shule lakini baada ya shule katika Business Administration(Practical) mtaani kagonga A++ nani genius?
Baki na ubozi wako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa Kinyasa Mbowe na Kambona walitumwa na mzee Kawawa wampelekee nauli mwalimu Nyerere.......sema tu mzee Mbowe alikuwa mwaminifu ingekuwa ni huyu Freeman angetokomea na hiyo nauli akale bata!wewe mlinda magari kwenye geti la lumumba utamjulia wapi Bilionea Mbowe ? Kwa faida yako na mbumbumbu wengine wa kiwango chako , Baba yake Freeman ndiye aliyempa nauli Mwl Nyerere kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru mnaoutumia kuteka na kuua watu
Matokeo autayaona wewe ulie vaa miwani ya mbao.waambie buku Saba wenzio nini kina fanyika Sasa wb.hayo ndio matokeo hayaji haraka kama unavyodhani wakati ni ukutaHivi kuna upuuzi zaidi ya huu wa kuongea na waandishi wa habari kila mara halafu hakuna manufaa ya hayo maongezi baada ya hapo, si upotevu wa muda tu.
Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
😆😆😆😆
Ukiansika watz haiongeze wala kupunguza mapato ya nchi.Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Ile list iweke wazi wajijue kabisa wanaotarajiwa kwenda kuzimu bila kuataka. Ni zamu yao sasa.Marekani wanayo orodha ya watu zaidi ya 200
Tunafanya mipango ya kupata nakala na kuiweka hadharaniIle list iweke wazi wajijue kabisa wanaotarajiwa kwenda kuzimu bila kuataka. Ni zamu yao sasa.
Inabidi litafutwe tukio la kupoteza mwelekeo wa huo mkutano.
We mama nenda kakune nazi huku umekunja 7 au kama unapiga deki, mambo ya Press Conference ya Mbowe hayakuhusu.Mnawezaje hata kumlipa Mshahara mtu kama huyo?
Ma-fisiem yameshirikiana na Mwamposa kupiga tukio kule Moshi ili kutupotezea attention ya action ya Marekani. This time around all eyes are focused on US actions vs manyang'au ya awamu ya 5.Marekani wanayo orodha ya watu zaidi ya 200
Tumekupata katibu mwenezi wa sera na itikadiTaarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA
na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Watu tuko bize na huu mkutano wa Mwenyekiti Mbowe. Labda nyie NZIGE WA KIJANI muwe na hotuba ya raisi ila kama kunadalili ya kumtumbua bashite naweza chungulia kidogoKesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.