GE2025 Kumekucha, Leo Ndio Leo, Ndio Ile Siku Tuliyo Isubiria Sana, Japo Wako 17, Ni CCM, Ni Samia! Huu Ndio Ukweli Wenyewe!

GE2025 Kumekucha, Leo Ndio Leo, Ndio Ile Siku Tuliyo Isubiria Sana, Japo Wako 17, Ni CCM, Ni Samia! Huu Ndio Ukweli Wenyewe!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni wapumbavu pekee watapiga kura wakati tayari mshindi yupo anasubiri kuapishwa tu. Bora ukose mali lakini uwe na akili timamu.
 
Hapa Ulaya huko America Asia na Barani Africa kote vyombo vinaongea vinaandika kuwa uchaguzi wa Tanzania ni wa maigizo tu wala si vinginevyo
 
Hata chaguzi wakati wa ukoloni zilikuwa za haki kuliko huu ujinga wa sasa unaoitwa uchaguzi, tumerudi nyuma miaka 50, kitakachofuata ni kuongezeka umaskini na ukosefu wa haki, hatuna nchi
Bora watangaze ufalume tu kuliko kupoteza mabilioni ya pesa kuzunguka Nchi nzima kufanya maigizo kampeni za maigizo uchaguzi wa maigizo
 
Masaa yanaenda sioni muandamanaji,
Inabidi tukawaamshe hawa.
Tar 29 si leo?
Bado wamelala pambaf.
Polisiccm na wewe tayari mmeandamana week yote kwa kuzunguka kutoa vitisho kwenye media, maandamano mliyofanya kwa niaba ya wapenda haki yametosha kupeleka ujumbe Duniani kote, kilichokuwa kinatakiwa ni ujumbe ufike na tayari Dunia imeupata vizuri, mandamano mengine yanaendelea moyoni mwa wapenda haki mda wote, wewe Dhuluma kula vya haramu wee lakini ujue mungu hapendi matendo yako
 
Sio polisi,
sijui hata upolisi uko vp.ingieni mtaani kuleta vurugu mtajua hamjui
 
Nimefuatilia kampeni zote za ccm za uchaguzi huu. Safari hii itashangaza kama watadondosha hata kiti kimoja kwa wagombea wake kwa namna walivyopanga ilani na sera zao. Kampeni zao walizipanga zikapangika, kama wataachia kiti hata kimoja basi ni wao wametaka kupunguza ushindi wao. Uchaguzi utakuwa huru na haki wananchi wajitokeze tu kupiga kura kuchagua viongozi
Dah🫥
 
Back
Top Bottom