Kumekucha: Marekani yakiri kutuma makombora maalumu ya kutungua rada Ukraine

Kama ungelewa kiundani ni nini hasa kimeleteleza matatizo yote haya, wala husingemtetea Zelensky - yeye anatumiwa tu wala hajielewi - anapokubali kama zuzu Taifa lake litumike indirectly kutishia usalama wa Russian Federation unategemea nini? Putin had no choice save to spring up a surprise attack to pre-empty Zelensky evil plan - who can blame him?

Njama zilizo kuwa zinasukwa na Zelensky kwa ushauri kutoka kwa US Administration zilijulikana mapema via agency za kijasusi - ilijulikana kwamba Zelensky alikuwa amekusanya majeshi na zana nzito za kivita kwa lengo la kuivamia Ukraine ya mashariki na Crimea, lengo hasa ni kuwaua ma million ya Waukraine wenye asili ya Urusi, actually tangu 2014 jeshi la KINAZI (Azov) la Zelensky lilisha angamiza Waukraine 14,000 wenye asili ya Urusi, cha ajabu hakuna taifa hata moja la magharibi au vyombo vyao vya habari vilivyo wahi kukemea/shutumu mauuaji hayo ya kutisha, wako kimya kabisa - WHY? they are least concern - Badala yake Sky News na like mind wenzake ndio wanatuletea story za kuchonga tu zilizo sheheni propaganda za kitoto ili kuwafanya wasikilizaji kama hawaja enda shule vile? Kwanza watu wote Duniani wenye akili timamu wanajuwa fika kwamba jeshi la Zelensky linapata wakati mgumu kwenye vita hii licha ya kusaidiwa na wanajeshi wa Merikani na Uingereza kwa kificho, lakini hilo haliwasadii chochote jeshi la Zelensky, wako hoi bin taabani!!
 
Ukraine ni Taifa huru Lina haki ya kujiamulia mambo yake.Mbona huyo Putin hajazivamia Finland na Sweden na wakati hii operation inaanza alizitishia zisithubutu kujiunga na NATO la sivyo yatawakuta yaliyowakuta Ukraine.

Ukweli ni kwamba Putin anataka kurudisha Dola la Usovieti na hii kama unamsilikiza kwa makini hua anaeleza mara Kwa mara kwamba kuvunjika Kwa USSR lilikua ni kosa kubwa la kihistoria,hayo ya usalama ni kama kisingizio tu hivi kanchi maskini kama Ukraine kanaitishia nini Urusi yenye maelfu ya silaha na maelfu ya silaha za nyuklia.
Angalia tena Ile hotuba aliyoitoa siku hii anayoiita special operation inaanza alieleza wazi kwamba kusingekua na Taifa la Ukraine bila ya Urusi,isikilize kwa makini Ile hotuba ndo utaelewa jamaa nia yake kuu ni kujitanua tu ndo maana jirani zake wote sasa hivi ikiwemo Kazakhstan wana wasiwasi wanaongeza ushirikiano na mataifa ya magharibi na kuongeza bajeti zao za Ulinzi wakiogopa kuvamiwa na Urusi.
 
Ni mzik we ngoja mwez huu utashuhudia meng maana ,rada zikishapigwa chini anga linatapakaa drones za kisasa na ndege ,hhapo Putin ataita maji mmaa
Mpaka inaenda piga radar haijaonekana tu ishambuliwe
 
Sasa nikuulize alichokifanya ni ndo sahihi. Sasa hivi Finland yenye urefu wa Zaid ya 1000 km inajiunga na NATO. Tuone kama kweli Ukraine ilikua inahatarisha usalama wake.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Watu wote wenye akili timamu wanajua kwamba bila Marekani na Uingereza Leo hii Ukraine kungekua na kibaraka wa Putin anaongoza Ile nchi lakini baada ya misaada ya West warusi wamefurushwa toka Kiev wakaenda kujibanza kule Donbas.

Unakumbuka wakati operation inaanza Russian paratroopers walivyokua wanashuka pale Kiev,unajua nini kiliwakuta?! Wote walifyekwa. Vita ilikua nzito mpaka Marekani walitaka kumtorosha Zelenksy lakini baada ya misaada kushuka mpaka Leo Zelenksy yupo Kiev na huu NI mwezi wa 6 Russia hajaweza hata kugain air superiority Ukraine. Su-35 zikiingia tu anga la Kiev zinatunguliwa,zile Su-57 wanazosema stealth zinarusha Makombora kutokea Urusi hazithubutu kugusa anga la Ukraine na hapo Ukraine ndo ina mifumo ya SAM ya kizamani enzi za Usovieti lakini Russia wameshindwa kabisa kuendesha SEAD operation wameishia kurusha Makombora kwenye mashule,mahospitali na makazi ya watu.
 
Kunywa maji ya kutosha mkuu, najua una mahaba mazito na Russia..,huamini unachokiona
Life is change
 
Dude hili apa mkuu
 
Inapigwa kwenye vyombo vyahabari MKUU sio field

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dola huru haya wawe wapole na hiki kipigo wanachokula
Swed na Fin wakijuinga nato muje mutuambie
Kama USSR wanataka kuirudisha itakua habari njema sna hii nayakupongezwa
.PUT IN anasema kweli yalikua makosa makubwa haswa kuvunjika USSR nainahitajika kurudi hata kama WAUKRAINE wakifa wote ili USSR irudi acha wafe hata kama kutazuka ww3 ili USSR irudi acha izuke hatakama itatumika nyuklia ili USSR irejee acha itumike
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RUSSIA itapiga hata makanisa kama ndio mnapojificha huko msipigwe poleni sana mtafuatwa mumo humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…