Yes. Route ambayo BRT haifiki daladala zinabaki.Kuna daladala za
mbezi - mnazi mmoja
Hizi Kuna zinazo pita barabaran ya morogoro na
Kuna zinazo pita njia ya korogwe zinatokea external Kisha njia ya kigogo mpaka mnazi1
Daladala mbona rahisi tu unanyimwa ruti tu kibali kikiisha ukiomba hupewi hadi zinaisha zote.Wengine wafe wao waishi sio? Mbona patachimbika, na je daladala watakubali kuzikwa?
HakunaKwani Kimara Kivukoni/Gerezani kuna daladala?
Daladala zitabaki kuhudumia njia nyingine
Watu wengi wanaweka hisia mbele. Imagine eti bajaj zinakuwa kama daladala zinatoka tegeta hadi posta!Hakuna
Ni wakati watu wakubaliane na uhalisia, tukiweka siasa kando, daladala, boda boda, machinga wanapaswa dhibitiwa
Kwa sasa boda boda na machinga ni kama wanafanya kila waonalo ni sawa
Hakuna competition ya daladala na mwendokasi. Mwendokasi ineletwa ili kuwe na organized transport hivyo kwemye njia iliokamilika daladala lazima ziondoke. Phase zote zikitimia daladala zote zitahamia huko nje ya mji. Hio ndio hali halisi. Sio kwasabbau ya Abdul au Samia huo ndio utaratibu wa brt. Hii ya mbagala kivukoni gerezani imekamilika daladala lazima ziondoke zitaemda route ambayo brt haifiki huko huko Mbagala. Mfano Gerezani Tuangoma,Gerezani Mwandege
Huwa nasema kuwa CCM wanafeli sababu ya kukumbatia ujinga, boda boda hazikupaswa kabisa ruhusiwa kuwepo mijini, wangebaki na kazi za ndani ndani.Watu wengi wanaweka hisia mbele.
Sio Kariakoo tu baranara zote zimekuwa uwanja wa fujo wa bajaj na bodaboda. Watu wako kwenye AI era sisi tunahangaika na bajaj na bodaboda.Huwa nasema kuwa CCM wanafeli sababu ya kukumbatia ujinga, boda boda hazikupaswa kabisa ruhusiwa kuwepo mijini, wangebaki na kazi za ndani ndani.
Hivi leo Kariakoo haipitiki sababu ya wanasiasa na siasa
Watu tususie mabasi ya mofat, kama vipi wayapeleke ZenjibarHasara kiaje wakati yale magari yanajaza hadi watu wanashindwa kupumua?
Waache ujinga kabisa
Mwendokasi imefeli vibaya kwenye hizo route mpaka Bajaj zimeingia kuziba hilo ombwe na hivi karibuni route ya Mbezi/Mnazimmoja imeanzishwa. Mwendokasi bado haijaweza kuwahakikishia wateja uhakika wa usafiri na ndio maana watu wana hofu.Kwani Kimara Kivukoni/Gerezani kuna daladala?
Daladala zitabaki kuhudumia njia nyingine
Yah,wametoa taarifa tu ziondolewe hawajaomba tenaMilio ishaanza,watulie
Nawewe unaona hilo litakuwa practical katika utawala huu wa kambale. Raia wajiandae na mateso bila chuki.Hakuna competition ya daladala na mwendokasi. Mwendokasi ineletwa ili kuwe na organized transport hivyo kwemye njia iliokamilika daladala lazima ziondoke. Phase zote zikitimia daladala zote zitahamia huko nje ya mji. Hio ndio hali halisi. Sio kwasabbau ya Abdul au Samia huo ndio utaratibu wa brt. Hii ya mbagala kivukoni gerezani imekamilika daladala lazima ziondoke zitaemda route ambayo brt haifiki huko huko Mbagala. Mfano Gerezani Tuangoma,Gerezani Mwandege daladala zitaemdelea kuwepo.
Tatizo ni kwamba wakati serikali inapanga kuanzisha hiyo miradi ya BRT, ilikuwa daladala inabidi ziondolewe zibakie kuhudumia njia mbadala "feeder roads"...
Sasa si unajua tena serikali yetu, zilongwa mbali, zitendwa mbali...