Lengo la Mwendokasi(Mofat) ni kuondoa usafiri wa vurugu, ovyo na usio na ratiba wa Daladala, na kuweka usafiri wa haraka, salama na unaofuata ratiba.
Ungekua unakaa huko usingeandika ulichoandika. Sasa hivi daladala zipo na aao wapo lakini bado kero ni kubwa, vituo vya mwendokasi hasa zakhem foleni ni kubwa, usimamizi mbovu kuanzia kulipia hadi kusubiri gariLengo la Mwendokasi(Mofat) ni kuondoa usafiri wa vurugu, ovyo na usio na ratiba wa Daladala, na kuweka usafiri wa haraka, salama na unaofuata ratiba.
Iwapo hao Mofat wana mabasi ya kutosha(naamini wanayo), hakuna sababu yoyote ya msingi ya Daladala kuendelea kutoa huduma.
Zaidi muundo wa Mwendokasi sio wa kiushindani! Na ili waweze kujiendesha lazima watataka kuondolewa kwa Daladala katika barabara wanazotoa huduma.
Zipigwe moto tu ...Mpaka Raia feki wakimbie nchi kuokoa maisha yao...
Kweli kabisa mkuuHizo bus haziwezi kuwahudumia abiria wote wa Mbagala nadhani waweke bei rafiki ili waende na soko la ushindani sio kutafuta wafanye kazi peke yao kama Kimara baadae Wananchi waanze kupata tabu tena..
Daladala ziondoke kwenye ruti ya mwendokasi,Wana mambo ya ajabu sana,usafiri tabu mbagala,kuanzia saa nane unusu alasiri,shida tupu,wapeleke hiecher zao kisemvuleMkuu hii taarifa sio mpya, ilishatolewa toka juzi. Mofat wanataka daladala ziondolewe kutoa huduma, wabaki wao peke yao kubeba abiria.
Soma hapa chini taarifa kamili
View attachment 3531916
Zinatosha hizo bus, usafiri wa kijima wa daladala na wenye uswahili mwingi upisheKweli kabisa mkuu
Wananchi wanapinga vikali!? Hahaha wakiambiwa wadai haki wanakimbilia supermarket kununua chakula na kujifungia ndani kama wafungwa. Wataisoma namba vzuri mpaka 2030.
Usafiri wa ajabu unaosema ni huo wa mwendokasiDaladala ziondoke kwenye ruti ya mwendokasi,Wana mambo ya ajabu sana,usafiri tabu mbagala,kuanzia saa nane unusu alasiri,shida tupu,wapeleke hiecher zao kisemvule
Kuna usafiri wa kijima bongo hii zaidi ya huo wa mwendokasi?Zinatosha hizo bus, usafiri wa kijima wa daladala na wenye uswahili mwingi upishe
ushasafiri nchi yoyote ya nje?Wanataka monopoly, wawaulize mwendokasi Kimara na Mbezi mbona wamerudisha daladala za town kmmmk
Naungana na MOFAT kwa kweli.
Ndiyoushasafiri nchi yoyote ya nje?
Utafikiri mtaweza kutoa hudumaZinatosha hizo bus, usafiri wa kijima wa daladala na wenye uswahili mwingi upishe