Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Demi Tuna wanawake wana hela kutuzidi ila wanaingia jikoni! Hawa ni vijana ambao hawajaoa ujue. Too theoretical
Naelewa. Tatizo kuna vijana hawana akili kama za wengi hapa kwenye huu uzi.
 
Watanzania wengi lakini zaidi wa mikoa ya nyanda za juu kusini na hawajui mapishi mazuri, tunahitaji kuboresha elimu ya mapishi nchini.
 
Nadhani she is pretending mkuu, Kaa nae wiki tu atakua amechoka kupika huyoo..
Anna kitu apo mkuu
 
Sie ndo tupo utajua mwenyewe. Mbona mwanamke akiolewa kwaajili ya pesa mnashangaa. Pambaneni na hali zenu.
Hatushangai ila jibu ulilotoa kama ndio mumeo unamfanyia hivyo kazi anayo.
 
Enzi izi za magesi, mapresha kuka na majiko ya umeme bado unasubiri mwanamke akupikie, auna njaa wewe[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Enzi izi za magesi, mapresha kuka na majiko ya umeme bado unasubiri mwanamke akupikie, auna njaa wewe[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Au nami sijaelewa mada japo mmesoma cuba[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Napika ninachoweza kupika. Kama ataona chakula kibaya atafute alternative. Wakati anataka niwe mke wake hakuuliza kama najua kupika.
Kama ni hivyo sawa ila sio uache kupika kwa kisingizio cha apike yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…