achana na assesment za vijiweni, weka facts hapa
achana na assesment za vijiweni, weka facts hapa
yule Muhoozi anatamani sana vitaKWA SAHV TUKICHAPANA NA UGANDA TUTAPIGWA VBYA SANA.
Southern African Development Community(SADC) Mission in DRC

Naam.Ni kweli Mseveni akikaa hapo Mindu street miaka ya sabini, nilikuwa naishi Muhimbili na kusoma Muhimbili Primary School.
Sio Museveni pekee, pia alikuwepo Milton Obote mwenyewe ambaye mtoto wake Clare Obotte tulianza form one hapo Mzizima Secondary school darasa moja.
Kama vile haitoshi, nikiwa Tumaini Secondary School 1978 nilikuta wapigania uhuru wa Uganda wawili wakigeresha kusoma Secondari wakati ni watu wazima.
Mmoja wao ni David Oyitte Ojok aliyekuja kuwa mkuu wa command mojawapo ya jeshi la Uganda baada ya kumng'oa Amini Daddah.....Ojok alikuja kuuawa kwa ajali ya helicopter.
Wanajeshi ni wa kufa tu, wanasiasa waishi kifahari.yule Muhoozi anatamani sana vita
uHili jambo nimekuwa namashaka nalo sana na yule dogo akiingia madarakani ndio patakuwa balaa ujue uganda na rwamda mda mrefu wamekuwa wakijiimarisha sana sisi ni siasa tu jeshi linazindua mradi wa kokoto
Ilo ni dogo sana Mzee Mseven atalimaliza!Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.
Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.
Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.
Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Source: The Chanzo
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.
Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.
Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.
Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Source: The Chanzo
Wanataka kuwaondoa kwenye focus waongo hamna kitu kama hichoKatika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.
Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.
Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.
Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Source: The Chanzo
Mmh kweli!?Wanataka kuwaondoa kwenye focus waongo hamna kitu kama hicho
Tuone mara ngapi!?
Unajua hii habari ulitoka lini? Kasome hansard za bunge.Wanataka kuwaondoa kwenye focus waongo hamna kitu kama hicho
Jeshi letu ni dhaifu sana