Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Hiy
Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake

Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
Hiyo ilikuwa enzi hizo wakati nchi ikiwa haina laana ya machawa.Sasa hivi kama kuna watu wa kuwa tayari kutoa uhai wao kwa kikundi fulani sidhani
 
Malawi wamechukua ziwa Nyasa lote mumewafanya Nini? Uganda ya 79 sio hii ya Sasa mtakula kipindi sio Cha kawaida.
By the way kama hujui Did Amini aliliwa timing tu lasivyo tungekuma kipindi mpaka tuchakae. Kasome vizuri historia
Nachukia mapumbavu km wewe, ziwa Nyasa imechukuliwa na Malawì? Unaota, au? Vijana wa sk hz mna shida gani, mbn wapumbavu hivi.
 
Malawi wamechukua ziwa Nyasa lote mumewafanya Nini? Uganda ya 79 sio hii ya Sasa mtakula kipindi sio Cha kawaida.
By the way kama hujui Did Amini aliliwa timing tu lasivyo tungekuma kipindi mpaka tuchakae. Kasome vizuri historia
We mbwa koko ni raia wa nchi gani, kahangaike na mambo ya nchi yako, Tanzania ni nchi kubwa haitishwi na hivyo vipanya. Mipaka aliweka mkoloni hakuna mtu wa kuibadili.
 
Unajua hata ile vita tulikuwa na back up ya majeshi/makundi ya watu walokuwa against na serikali ya Iddi Amin Dada? Nao walisimama front kupambana dhidi ya Uganda?

Unazungumzia vipi utayari na uzalendo wa Watanzania wa kipindi kile cha Nyerere na sasa, upo tayari kwenda vitani kwa amri ya mama samia? Nonsense.

Unaizungumzia vipi Uganda iloaadvance sana kijeshi kisilaha katika miongo ya karibuni. Je, tuna uwiano nao?
Sasa bwege km wewe nani atakupeleka vitani
 
Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake

Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
Wewe ni aina ya watu design ya mashabiki wa man united, bado mnaishi kwneye historia.
Wakati team zingine zimejiimarisha mnapokea vipigo

Mambo yamebadilika sana, jeshi la uganda si la kama miaka hiyo, liko imara modernized.
 
Mechi irudiwe tu maana hawa jamaa zetu hawana kazi... Wamebaki kubeba mbox ya kura zetu... Na refa wa hii gemu awe Putin!.
 
Back
Top Bottom