Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Hahaha Visiwa viwili vya Unguja na Pemba mmeshindwa kuvichukua na mnatawaliwa na Wazanzibari kama wajinga halafu ndio mwende vitani mshinde?

Yani Google uangalie visiwa vya Zanzibar halafu mnasema mmeungana, wao wana nchi nyie mna ardhi kuubwa na miwatu kibao mnatawaliwa kijinga kabisa halafu ndio mchokonoe Uganda halafu mshinde.

Hata Malawi wakikomaa ziwa lote na mikoa kadhaa wanachukua bila ubishi wowote.
 
😂😅🤣Yani na wewe unaamini wale vibaka wa m23 walipige JWTZ na jeshi la South Africa?
Hapo nchi zinategeshea Congo achakae aombe poo, akae na watu mezani aweke maslahi watu wamsaidie
Akileta mdomo watu wanaenda kuzuga na kumwachia mzigo wake
M23 wameua askari kibao wa JWTZ na SANDF.

Askari wa Rwand wamewadhalilisha.

Kipi wamebakiza??
 
Amna mgo

Hamna mgogoro hapo
Hata Nyerere mwenyewe aliwahi kutamka hivyo tena bungeni miaka ya sitini. Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe baadaye.
Jiulize kwa nini suala la mpaka kati yetu na Uganda lililoamuliwa na vita ya Kagera na tukaibuka washindi, kwa nini litajwe kuwa mgogoro sasa?
 
Inasemekana ivory Coast huko kimenuka 😄
Hebu wajuvi humu mconifrm

Ova
 
KWA SAHV TUKICHAPANA NA UGANDA TUTAPIGWA VBYA SANA.
Tanzania is ranked 92nd out of 145 countries in global military strength, as reported by The Africa Report.com. This ranking places Tanzania's military within the middle range of countries based on factors like military budget, active personnel, and equipment. The Tanzania People's Defence Force has an estimated $2.2 billion budget and approximately 27,000 active personnel, with an additional 80,000 reserve personneL
 
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.

Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.

Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01° kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.

Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Source: The Chanzo
Kinuke tu
 
Facts.

Tafuta mtu aliyekaa Upanga karibu na Muhimbili miaka ya 1970s, au kama kuna mtu alikuwa dereva teksi Muhimbili miaka hiyo atakuwa anajua hizi stories na probably kashamuendesha Museveni.
Ni kweli Mseveni akikaa hapo Mindu street miaka ya sabini, nilikuwa naishi Muhimbili na kusoma Muhimbili Primary School.

Sio Museveni pekee, pia alikuwepo Milton Obote mwenyewe ambaye mtoto wake Clare Obotte tulianza form one hapo Mzizima Secondary school darasa moja.

Kama vile haitoshi, nikiwa Tumaini Secondary School 1978 nilikuta wapigania uhuru wa Uganda wawili wakigeresha kusoma Secondari wakati ni watu wazima.

Mmoja wao ni David Oyitte Ojok aliyekuja kuwa mkuu wa command mojawapo ya jeshi la Uganda baada ya kumng'oa Amini Daddah.....Ojok alikuja kuuawa kwa ajali ya helicopter.
 
Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake


Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
We mnyambo ni akili yako imejaa ma. Vi
Very stupid post indeed
 
Malawi wamechukua ziwa Nyasa lote mumewafanya Nini? Uganda ya 79 sio hii ya Sasa mtakula kipindi sio Cha kawaida.
By the way kama hujui Did Amini aliliwa timing tu lasivyo tungekuma kipindi mpaka tuchakae. Kasome vizuri historia
Acha uongo basi hebu ona haya. Lini Malawi kachukua ziwa Nyasa lote?
 
Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake


Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
Sasa mtu km ww utashauri nini km ht vita vya Uganda hujui vilipiganwa lini?
 
Tanzania is ranked 92nd out of 145 countries in global military strength, as reported by The Africa Report.com. This ranking places Tanzania's military within the middle range of countries based on factors like military budget, active personnel, and equipment. The Tanzania People's Defence Force has an estimated $2.2 billion budget and approximately 27,000 active personnel, with an additional 80,000 reserve personneL
Unataka kusema Tanzania Ina wanajeshi 100k out of 70million population.!!?
 
Back
Top Bottom