Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake

Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
Labda kwa fremu za rugalo mlizo pangisha kuuza nguo,vipabu na vibanda vya kitimoto kiimba mama mama mama
 
Akitaka awaukize wakenya Kuna kichapo walikula kwenye kakisiwa Fulani ziwa Victoria hawana hamu
Kalikuwa ha ka kisiwa ka ajabu sana......

1747856414610.png
 
H
Moseveni is one and only siyo kama mama ambaye antegemea machawa.
Halafu mara zote jamaa kashinda kiuhalali dhidi ya wapinzani wake Amama Mbambazi, K Besyige, R kyagulanyi.

UG hakuna wizi wa kura mkuu😎
Huko hamna uchaguzi Bora hata sisi tuna tume mbovu ila japo tunazuga kidogo
 
Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake

Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
ishu ni kwamba kagame anaweza kumpa tafu
 
Unajua hata ile vita tulikuwa na back up ya majeshi/makundi ya watu walokuwa against na serikali ya Iddi Amin Dada? Nao walisimama front kupambana dhidi ya Uganda?

Unazungumzia vipi utayari na uzalendo wa Watanzania wa kipindi kile cha Nyerere na sasa, upo tayari kwenda vitani kwa amri ya mama samia? Nonsense.

Unaizungumzia vipi Uganda iloaadvance sana kijeshi kisilaha katika miongo ya karibuni. Je, tuna uwiano nao?
Jamaa ni kama haishi Tanzania. Hivi kwa hali ya sasa ni ipi utayari wa Mtanzania kwenda vitani?
 
Back
Top Bottom