Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Umesikia hii
IMG_1392.jpeg
 
Jamaa ni kama haishi Tanzania. Hivi kwa hali ya sasa ni ipi utayari wa Mtanzania kwenda vitani?
Nchi ndo kila kitu kijana
Ukizubaa wahuni wakachukua nchi, wewe utaishi wapi?
Utakosa kwenu
Ikitakiwa kuilinda Tanzania Fanya hivo
Upo unajamba hapo Kwa kuwa Tanzania ipo salama
 
Hata mimi nahisi Watanzania wengi wanaweza kuwa upande ule wakati wa mtifuano
Tanzania ndo kila kitu
Usitamani kunyanganywa nchi
Nenda Sudan uone
Nenda Goma Congo uone
Nenda Somalia uone

Wacha tupambane na CCM ila tusithubutu kupambana kuiangusha Tanzania
 
Yaani unafananisha Tanzania ya Mwl. Nyerere na tanzagiza ya bi chaudele? What a disgrace to the late mwalimu!

Sisi wenyewe tunatamani wakenya waje kutukomboa dhidi ya haya maharamia ya kijani, halafu eti tukawakomboe waganda! Yaani maiti zikawakomboe waliolala!
 
Malawi wamechukua ziwa Nyasa lote mumewafanya Nini? Uganda ya 79 sio hii ya Sasa mtakula kipindi sio Cha kawaida.
By the way kama hujui Did Amini aliliwa timing tu lasivyo tungekuma kipindi mpaka tuchakae. Kasome vizuri historia

Wewe hujui kitu, Malawi wamechukua ziwa Nyasa gani? Wewe unajua kuna vikosi vya jeshi letu vinavyolinda mipaka ya nchi sana sana kwenye maeneo yanye utata kama hayo wako makini sana.
 
Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake

Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
Mnashindwa kujikomboa wenyewe kutoka kwa mkoloni Ccm mtamuweza mseveni
 
Kijana unafikiri vita ni mchezo sio. Uchumi wa nchi uliporomoka sana kufuatia vita vya Kagera na ilichukua miongo karibia mitatu kabla ya kuanza kutengemaa tena😂
 
Nchi ndo kila kitu kijana
Ukizubaa wahuni wakachukua nchi, wewe utaishi wapi?
Utakosa kwenu
Ikitakiwa kuilinda Tanzania Fanya hivo
Upo unajamba hapo Kwa kuwa Tanzania ipo salama
Nilikuwa zamani lakini kwa sasa hata nchi yangu sijui inaanzia wapi na kuishia wapi. Achilia mbali Rais anapatikana vp
 
Back
Top Bottom