Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake


Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
"His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular"


Museveni amechoka kuongoza uganda
 
Kijana unafikiri vita ni mchezo sio. Uchumi wa nchi uliporomoka sana kufuatia vita vya Kagera na ilichukua miongo karibia mitatu kabla ya kuanza kutengemaa tena😂
Uganda wakivuka mpaka wakaweka bendera zao kwenye yetu tufanyeje?
 
Ardhi ya Tanzania mafala kama hao hawawezi kukanyaga
Watawala wa Tanzania wanafanya mambo mengi yawe ya Siri lakini ukweli ni kwamba hakuna usalama ambao watanzania wanahakikishiwa.

Kwa mfano katika vita dhidi ya nduli nimpendaye Idd Amin wanajeshi wengi wa Tanzania walipoteza maisha lakini utawala wa Tanzania ilitengeneza propaganda kuwa wanajeshi wachache ndio waliopoteza maisha.

Visa vya maghaidi wanaoingia Tz na kufanya yao huwekwa Siri ili mtanzania wa kawaida aendelee kuiamini Serikali.

Safari hii mficha uchi atakufa kwa uzazi😎.
 
Watawala wa Tanzania wanafanya mambo mengi yawe ya Siri lakini ukweli ni kwamba hakuna usalama ambao watanzania wanahakikishiwa.

Kwa mfano katika vita dhidi ya nduli nimpendaye Idd Amin wanajeshi wengi wa Tanzania walipoteza maisha lakini utawala wa Tanzania ilitengeneza propaganda kuwa wanajeshi wachache ndio waliopoteza maisha.

Visa vya maghaidi wanaoingia Tz na kufanya yao huwekwa Siri ili mtanzania wa kawaida aendelee kuiamini Serikali.

Safari hii mficha uchi atakufa kwa uzazi😎.
Hizo ni mbinu za kawaida
Hata wewe ukiwa unapigana na mwanaume mwenza akikupiga teke la pumbu usilie aiiiiiiiii atakumaliza
 
Amna mgo
Mgogoro wa wazi tena wa miaka mingi ni ule mpaka wetu na Malawi. Huu hausemwi ila tunalazimisha kutafuta mgogoro wa mpaka na Uganda ambapo tuliishashinda hiyo vita na Uganda wanatakiwa kutulipa fidia au tulipaswa kuendelea kuikalia Uganda baada ya kuiteka...... Hii taarifa ya mgogoro wa mpaka kati yetu na Uganda, mbona haiingii akilini? 😳 🤔
Hamna mgogoro hapo
 
Idd Amin alikuwa na back up ya nchi za Mashariki ya kati na Gaddafi Bado Nyerere akamtwanga

Kuhusu Mimi kuipigania Tanzania nikipata nafasi Niko tayari, nilipata uzoefu na uzalendo wa kutosha kutoka pale Mlale JKT
Kwa lolote kuhusu kuilinda Tanzania sitasita kufanya lolote Niko tayari hata kufa Kwa ajili ya Tanzania
Ukisikiliza hii interview ya mwisho ya Iddi Amin ni kuwa Iddi amin alipata hofu baada ya kuona Jeshi la TZ ni kubwa mara 3 kuliko la kwake.


View: https://youtu.be/-kRhQWmkw0A?si=MqnxVTcFg2Bp9Ymi


Ukingalia hii video utaona, TZ ilikusanya kila kijana mtaani ikampa mafunzo kidogo, akapewa silaha akaingia jeshini.


View: https://youtu.be/Mn5g8DpRrHk?si=qcBMIPy__Xp7ioYn

Kwasasa nani yuko tayari kwenda kupigana, labda vijana wa UVCCM.

Wakikulazimisha kwenda vitani unaenda ku-sureender.
 
Huyo anautafuta mwisho wa baba yake Mseveni na yeye mwenyewe
Tunaenda kuwakabidhi Waganda nchi Yao wamweke Rais wanayemtaka
Wanajeshi wa Tz katika actual fighting hawafui dafu dhidi ya nchi yoyote hapa EAC. Wanategemea zaidi intimidation kama walivyofanya kwa bibie Joyce Banda, sasa generali Kainerugaba siyo mtu wa kumfanyia intimidation hata kidogo.

Atawanyoosha hadi mtajuta kuzaliwa bongo.
 
Back
Top Bottom