Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Daaah
Facts.

Tafuta mtu aliyekaa Upanga karibu na Muhimbili miaka ya 1970s, au kama kuna mtu alikuwa dereva teksi Muhimbili miaka hiyo atakuwa anajua hizi stories na probably kashamuendesha Museveni.
 
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali ya usalama katika mpaka huu wenye urefu wa kilomita 397.8 ni shwari.

Hakuna tukio la kuhatarisha usalama wa nchi yetu," ilieleza ripoti hiyo ya Wizara."Pamoja na hali hii, kumekuwepo na tishio la kiusalama linalotokana na Mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Uganda.

Pamoja na jitihada za kumaliza mgogoro huu, bado serikali ya Uganda inaendelea kudai kuwa mpaka wake na Tanzania katika eneo la Kagera unapita katika 01ยฐ kusini mwa ikweta badala ya marundo ya mawe yaliyopo," taarifa hiyo inaeleza.

Wizara ilieleza zaidi kuwa mazungumzo yanaendelea chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Source: The Chanzo
Tusiposimama kama taifa ipo dalili ya wabaya wetu kujipenyeza kupitia utengano wa kivyama tuloo nao
 
Mgogoro wa wazi tena wa miaka mingi ni ule mpaka wetu na Malawi. Huu hausemwi ila tunalazimisha kutafuta mgogoro wa mpaka na Uganda ambapo tuliishashinda hiyo vita na Uganda wanatakiwa kutulipa fidia au tulipaswa kuendelea kuikalia Uganda baada ya kuiteka...... Hii taarifa ya mgogoro wa mpaka kati yetu na Uganda, mbona haiingii akilini? ๐Ÿ˜ณ ๐Ÿค”
 
Hili jambo nimekuwa namashaka nalo sana na yule dogo akiingia madarakani ndio patakuwa balaa ujue uganda na rwamda mda mrefu wamekuwa wakijiimarisha sana sisi ni siasa tu jeshi linazindua mradi wa kokoto
Tutawaponda na kokoto manati zipo
 
Samia awezi kuunganisha taifa kwa vyovyote ....hata msoga gang wamesha pigwa pin ๐Ÿ“Œmaana tulipo onya kuhusu kundi hatari la raia feki kushika dola na ile ajenda yao ...hao msoga gang walikuwa wanatumika kama vibaraka bila ya kutambua ...ndiyo maana ukiitazama ccm kwa makini utaona kuna kitu kisicho cha kawaida kinaendelea ndani yake ...wale walio jidai wajuzi wa kuogerea ndani ya ccm walio wacheka na kuwakebei sukuma gang sasa wanaonekana kuzidiwa na maji wanaanza kunywa vikombe na kuzamishwa,furaha yao ya kuogerea imegeuka hatari kuu....๐Ÿคญ๐Ÿคญwapo watu wapumbavu wanao amini msoga gang ndiyo wanao endesha nchi kwa sasa๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ....mimi nawaambia kila sekunde inavyo kwenda ndivyo msoga gang wanavyo zidi kupotezwa na mafuriko ya maji ...ukweli ni kwamba hatari hata wao wameiona ila walichelewa sana kutafuta cha kufanya ....kikwete katumika kipumbavu kama alivyo tumika lissu na chadema kipindi cha JPM ...na dalili kuwa umetumika kipumbavu ni kuona nafsi yako imeanza kuuma(yaani kuwa na maumivu) juu ya kile ulicho kishabikia na kukitukuza..

Ukweli wingine ni huu kama Nyerere au karume wangekuwa hai kipindi hiki cha Samia basi angefanya juu chini kuakikisha wanauliwa kwa namna yoyote ...๐Ÿ’ฅthis mean samia ni nani?๐Ÿ’ฅ
Hueleweki unasema kitu gani,... you're allover the place at the same time!
 
Tanzania chini ya JWTZ ndo walimfurusha nduli Idd Amin Dada baada ya kushinda vita ya Kagera 1977, ambaye alikuwa mtesi wa raia wa Uganda Kwa udikteta wake


Katika vitu Tanzania tunajivunia ni jeshi letu imara lenye nidhamu JWTZ

Rais Mseveni ameitawa Uganda Kwa miaka takbani 40 yupo madarakani Nina uhakika Waganda wamemchoka na Sasa wanataka mabadiliko

Kuna tetesi ati mtoto wa Mseveni ambaye Kwa Sasa ndo kashika nchi japo sio rasmi kutokana na uzee wa Rais Mseveni ametishia kusogezeza mpaka ili kusogea hadi eneo la Kyaka ulipo mto Kagera

Kwa sababu zile zile za Nyerere kumtwanga Idd Amin ndo Kainerugaba anapitia kumchoza Samia, hapa ni kujitafutia mwisho wao

Hapa Kainerugaba kayakanyaga anatafuta mwisho wa regime ya baba yake

Nina uhakika JWTZ wanapasha ili wampasue akileta migambo wake

Watanzania tutazogoana ila yakija maslahi ya Taifa tutashikamana
 
Malawi wamechukua ziwa Nyasa lote mumewafanya Nini? Uganda ya 79 sio hii ya Sasa mtakula kipindi sio Cha kawaida.
By the way kama hujui Did Amini aliliwa timing tu lasivyo tungekuma kipindi mpaka tuchakae. Kasome vizuri historia
 
Back
Top Bottom