Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

Malawi wamechukua ziwa Nyasa lote mumewafanya Nini? Uganda ya 79 sio hii ya Sasa mtakula kipindi sio Cha kawaida.
By the way kama hujui Did Amini aliliwa timing tu lasivyo tungekuma kipindi mpaka tuchakae. Kasome vizuri historia
Sio kweli kuwa Malawi ameichukua Nyasa yote
Mipaka ipo na laZima aiheshimu
 
Very stupid post. East African countrys zipo close pamoja na regime zao zinaheshimiana kuliko miaka yote. Madhara ya vita yanajulikana na kila mmoja anapambana kuepusha hilo. Tushavuka stage ya kugombania mipaka kwa kutumia mitutu.
Hatutakaa kimya tukichozwa
 
Unajua hata ile vita tulikuwa na back up ya majeshi/makundi ya watu walokuwa against na serikali ya Iddi Amin Dada? Nao walisimama front kupambana dhidi ya Uganda?

Unazungumzia vipi utayari na uzalendo wa Watanzania wa kipindi kile cha Nyerere na sasa, upo tayari kwenda vitani kwa amri ya mama samia? Nonsense.

Unaizungumzia vipi Uganda iloaadvance sana kijeshi kisilaha katika miongo ya karibuni. Je, tuna uwiano nao?
 
Malawi wamechukua ziwa Nyasa lote mumewafanya Nini? Uganda ya 79 sio hii ya Sasa mtakula kipindi sio Cha kawaida.
By the way kama hujui Did Amini aliliwa timing tu lasivyo tungekuma kipindi mpaka tuchakae. Kasome vizuri historia
Siasa zisikufanye upende kuandika uongo, lini ziwa limechukuliwa wakati hadi muda huu tunajenga bandari!
 
Unajua hata ile vita tulikuwa na back up ya majeshi/makundi ya watu walokuwa against na serikali ya Iddi Amin Dada? Nao walisimama front kupambana dhidi ya Uganda?

Unazungumzia vipi utayari na uzalendo wa Watanzania wa kipindi kile cha Nyerere na sasa, upo tayari kwenda vitani kwa amri ya mama samia? Nonsense.

Unaizungumzia vipi Uganda iloaadvance sana kijeshi kisilaha katika miongo ya karibuni. Je, tuna uwiano nao?
Hata Uganda alikuwa na backup ya nchi zingine.
 
Unajua hata ile vita tulikuwa na back up ya majeshi/makundi ya watu walokuwa against na serikali ya Iddi Amin Dada? Nao walisimama front kupambana dhidi ya Uganda?

Unazungumzia vipi utayari na uzalendo wa Watanzania wa kipindi kile cha Nyerere na sasa, upo tayari kwenda vitani kwa amri ya mama samia? Nonsense.

Unaizungumzia vipi Uganda iloaadvance sana kijeshi kisilaha katika miongo ya karibuni. Je, tuna uwiano nao?
Namuongezea kuwa Sudan imegawanyika Kwa msaada wa Uganda. Akitaka awaukize wakenya Kuna kichapo walikula kwenye kakisiwa Fulani ziwa Victoria hawana hamu
 
Unajua hata ile vita tulikuwa na back up ya majeshi/makundi ya watu walokuwa against na serikali ya Iddi Amin Dada? Nao walisimama front kupambana dhidi ya Uganda?

Unazungumzia vipi utayari na uzalendo wa Watanzania wa kipindi kile cha Nyerere na sasa, upo tayari kwenda vitani kwa amri ya mama samia? Nonsense.

Unaizungumzia vipi Uganda iloaadvance sana kijeshi kisilaha katika miongo ya karibuni. Je, tuna uwiano nao?
Idd Amin alikuwa na back up ya nchi za Mashariki ya kati na Gaddafi Bado Nyerere akamtwanga

Kuhusu Mimi kuipigania Tanzania nikipata nafasi Niko tayari, nilipata uzoefu na uzalendo wa kutosha kutoka pale Mlale JKT
Kwa lolote kuhusu kuilinda Tanzania sitasita kufanya lolote Niko tayari hata kufa Kwa ajili ya Tanzania
 
Hakuna mgogoro huo. Madikteta wanayo tabia ya kuanzisha migogoro ya kitaifa ili ku shift focus na kuunganisha watu dhidi ya adui wa nje wakiwa na matumaini kuwa watu watamsahahu adui wa ndani.
Wenye hayo madai ni Uganda..
Sio sisi
 
Back
Top Bottom