MendeOLD
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 196
- 405
Duh ndo watangaze habari ile mkuu? Sio kweli tafakari upyaHata issue ya kuhack accounts za mtandao kadhaa .
Ni serikali yenyewe imeamua kufanya hivyo kuzima mjadala wa Lisu
Duh ndo watangaze habari ile mkuu? Sio kweli tafakari upyaHata issue ya kuhack accounts za mtandao kadhaa .
Ni serikali yenyewe imeamua kufanya hivyo kuzima mjadala wa Lisu
Wanawatoa watu kwenye focus ya ndaniHata Nyerere mwenyewe aliwahi kutamka hivyo tena bungeni miaka ya sitini. Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe baadaye.
Jiulize kwa nini suala la mpaka kati yetu na Uganda lililoamuliwa na vita ya Kagera na tukaibuka washindi, kwa nini litajwe kuwa mgogoro sasa?
Kwahiyo ndio waliwaambia JWTZ ni jeshi la 6 kwa ubora??Blogs na vyombo vya habari kama hivi ndio zina feed.
Bodies of 18 SAMIDRC soldiers killed in DR Congo conflict transported to Uganda for autopsy
Bodies of 18 SAMIDRC soldiers killed in DR Congo conflict transported to Uganda for autopsy-english.news.cn
Mimi ni raia wa kawaida, bahati nzuri siwezi kudhalilishwa hivi kwa kukaguliwa mpaka chupi na wanajeshi wa Rwanda.Huna unachojua wewe raia wa kawaida.
Endelea kuona hivo hivo.
Endelea kuota tu.Kwahigo ndio waliwaambia JWTZ ni jeshi la 6 kwa ubora??
😅😅😅
Sasa mwanajeshi unapitaje nchi za watu bila kukaguliwa?Mimi ni raia wa kawaida, bahati nzuri siwezi kudhalilishwa hivi kwa kukaguliwa mpaka chupi na wanajeshi wa Rwanda.
View attachment 3341708
Tuingie uwanjani acha woga, sasa nchi yenye jeshi oga itakuaje kwa raiaTutachakazwa..vibaya mno.
Hiyo ni total surrender.Sasa mwanajeshi unapitaje nchi za watu bila kukaguliwa?
Total surrender kwani walikuwa wanapigana na Rwanda?Hiyo ni total surrender.
Maana yake chochote walichotaka kwake walifanya.
Na kuonesha huna cha kuwafanya wakarekodi wakasambazia dunia ijue.
Chui wa kuchora.
Anaweza kina Chaula tu na kujenga fremu za maduka
Sasanhivi CCM wanaua mtu yoyote.Tusiposimama kama taifa ipo dalili ya wabaya wetu kujipenyeza kupitia utengano wa kivyama tuloo nao
Achaneni na hivi vistori ucbwara vya mitandaoniTanzania is ranked 92nd out of 145 countries in global military strength, as reported by The Africa Report.com. This ranking places Tanzania's military within the middle range of countries based on factors like military budget, active personnel, and equipment. The Tanzania People's Defence Force has an estimated $2.2 billion budget and approximately 27,000 active personnel, with an additional 80,000 reserve personneL
Hakuna mgogoro huo. Madikteta wanayo tabia ya kuanzisha migogoro ya kitaifa ili ku shift focus na kuunganisha watu dhidi ya adui wa nje wakiwa na matumaini kuwa watu watamsahahu adui wa ndani.
Ukikamatwa unapelekwa uwanja wa shabahaTutakuchaza huko huko
We ndyo unaongea ubwibwiru, unabishia machapisho halali, basi hamia huko UG if u are proud and fantasising baba Muhozi military strengthAchaneni na hivi vistori ucbwara vya mitandaoni
Ikitokea vita kwasababu mtachapika vibaya sana.We ndyo unaongea ubwibwiru, unabishia machapisho halali, basi hamia huko UG if u are proud and fantasising baba Muhozi military strength
achana na assesment za vijiweni, weka facts hapaIkitokea vita kwasababu mtachapika vibaya sana.
Sioni MTZ akishiriki.