Kumfanyisha Interview Medical Doctor aliyethibitishwa na Baraza la Madaktari (MCT) ni dharau kubwa sana

Eti wame kauka, Kama wame toka kuvuna mahindiπŸ˜ƒ
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Milio itakuwa mingi sana ,na bado .
 
Hao

wahasibu wamesoma miaka mitano?

Hivi unaujua mziki wa medical school?
Hujui kwanini zamani walikuwa wanaajiliwa moja kwa moja?

By the way mimi ninla saba B ninabobea kwenye uchawi nilichokifanya ni kuwasemea hawa watu tu mkuu

Nisamehe bure
Acha mbwembwe wewe dogo ,medical school ndio ugoro gani wewe ?,
Wewe ungeweza mziki wa course za uhandisi (Engineering) wewe ?
Na tunamaliza hapo tunapiga internship au kazi miaka mitatu ndio unaanza mchakato wa kuanza kushughulikia leseni .
Kipi ni special kwenu ninyi .
Useless kabisa , usahili uko pale pale ,mtake msitake usahili unawahusu
 
Na hapo bado kilio cha waalimu πŸ˜‚

Na hapo bado kilio cha waalimu πŸ˜‚
Na bado hawajasema 🀣🀣😍🀣🀣🀣 ,vilio vitakuwa vingi na vikali sana mwaka huu , na ule Mbinyo wa kule utumishi , natoa angalizo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yawezekana kuna watu wataanza kuokota Makopo barabarani
 
Hao

wahasibu wamesoma miaka mitano?

Hivi unaujua mziki wa medical school?
Hujui kwanini zamani walikuwa wanaajiliwa moja kwa moja?

By the way mimi ninla saba B ninabobea kwenye uchawi nilichokifanya ni kuwasemea hawa watu tu mkuu

Nisamehe bure

Zamani walikuwa wachache. Ndio maana walikuwa wanaajiriwa moja kwa moja.

Hata walimu zamani walikuwa wanaajiriwa moja kwa moja
 
Eti wame kauka, Kama wame toka kuvuna mahindiπŸ˜ƒ
Kiukweli sio tabia nzuri wanayowafanyia hawa vijana. Sie wengine tukiingia kwenye interview panelist wanakuhakikishia uko comfortable kwanza, panelist hayuko pale kukukwamisha, yuko pale kutaka kufahamu skills zako and how best you can offer them.

Kwenye Interview moja swali la kwanza niliulizwa kama napenda kupika na napenda kupika nini? (usahili hauhusiani na mapishi) Ni namna ya kumfanya mtu awe calm and collected.

WaTz tupunguze roho mbaya, tushazoea kila kitu kukipata kwa kustruggle kama wana wa Israeli Lol!
 
Unaemraumu hayupo , haya yote yamesababishwa Na rais wa wanyongeπŸ˜€πŸ˜€
 
unayoo?
 
ni kweli, muda mwingine Wana kuwa strict Sana sijui ndo sifa??.

Sema huyo alie kuuliza kupika ni wa kiume au kike ??
 
Etiii nimepataa A mara division one WTF ajira za serikali ni haki ya kila mtu regardless ufaulu wako wa huko mashulenii nendenii mkapambanee nafasii ni chachee mnoπŸ˜‚πŸ˜‚ nyie ndo mnakosea kufanyia watu operation baada ya goti mnafanya kichwa kisa umepata division one four……. Nenda kwenye interview kaonyeshee kwamba wewe unauwezo kuliko wengnee sio kutupigia kelele hapaa
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Milio itakuwa mingi sana ,na bado .
Sijajua unacheka nini kwenye malalamiko ya wenzio, Mr. Privileged.

Binafsi sijawahi kwenda kwenye interview utumishi, na sijawahi fanya interview ambayo panelist ina mbongo zaidi ya mmoja. However naelewa mazingira ya interview yanayolalamikiwa hapa yalivyo kwa kuambiwa.
 
Mass unemployment. Baada ya kukosa ubunifu, unaona interview ndio suluhisho la hiyo mass unemployment mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…