Interview sio kitu kibaya at all, tatizo interview za nchi hii ndio za udhalilishaji.
Niliuliza why wanashortlist candidate 100 kwa nafasi 2? eti policy za utumishi ni za kutoa nafasi kwa wote na blah blah.
Mnaweza vipi kuachieve effectiveness, accuracy, fairness kwenye mazingira kama hayo, eti watu wamekuja kwenye interview uwanja wa taifa, yaani kama mnada 😀
Mi naishi Dodoma, every now and then
napokea watu/madogo wanaenda kwenye interview UDOM mtu akirudi amepauka kama katoka kuvuna mahindi, unajiuliza WTF!
Kwa mazingira hayo, Mwisho watu hawawezi shindana kwa uwezo wanashindana kwa vimemo, huu ni udhalilishaji. Ndio maana tuna baadhi ya watumishi wa hovyo , Sorry not sorry .