Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

kwanza hiyo ni tabia ya kimalaya.
kama hakuna kihatarishi cha uhai
hakuna sababu ya msingi ya kuwa
na mawazo ya aina hiyo
zaidi ya ujinga tu
Nachagua kutokukujibu ila next time ukija hivi nitakujibu nakuahidi
 
Yesu baba ake ni nani?

Kwenye mada: sio kwamba mtoto hana baba ila anaficwa makusudi tu

Yaani mfano mimi niseme mtoto nataka ila sitaki ku share huyo mtoto na mtu awe wangu peke angu

Umeelewa?
Nenda sperm banks ujichagulie baba ambae hutakaa ujue historia yake
 
Ubinafsi uliopitiliza.
Kwa Nini umnyime mtoto haki ya kumjua baba yake na haki kupata malezi ya baba na mama?
Ubinafsi hapo upo wapi mbona watoto waliofiwa na baba zao wanaishi vizuri tu
 
Mkuu MKANGAFFU acha hizo mimi sihusiki na hayo mambo unayasema nipo zangu navuna mahindi na kahawa hapa Rushe karagwe

Karibu kaka kilimo kinalipa sana .
Najiita nyoka maana ni jina la utani naloitwa na jamaa zangu baada ya kuwa na tabia ya kukimbia mapigano huko bar ikiwa yatatokea basi uwa napotea kama nyoka ndiyo wakasema mimi sikimbii ila natambaa kama nyoka .

Kuna lingine mkuu naweza kukusimulia ?
Hujaacha kunywaa wa kwetu
 
Back
Top Bottom