Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

wengi wanakataa hapa

nimeona na kushuhudia watoto wakilelewa bila kuonana na baba zao toka kuzaliwa mm ni shuhuda wa hili,

Yaani ni watoto tuliokula nao kulala nao kuoga wote kusoma wote n.k

Na mama yule aulizwapo swala la baba wa watoto anabadilika na kuonyesha hisia tofauti sijui shida ni nn imekuwa hivyo

Huyo baba mtoto yupo maake waliolewa kwenye familia hiyo ni mabinti waliotoka jirani na kuolewa ujirani.

Full stop
 
Ongeza sauti watu wanajifanya kupinga kama vile haiwezekani
 
Kumekua na migogoro mingi kuhusu watoto na inaumiza kicwa sasa nikaona niulize kama kuna uwezekano kwa mwanamke kujipatia mtoto wake binafsi bila ku share na baba mtu ili kuepuka migogoro inayoweza kujitokeza

Sasa mimi sijaelewa wapi hapo? 😊
Hofu yangu ipo kwa huyo mtoto, utakuwa umemkatili na kumletea trauma kubwa sana bila sababu ya msingi. 😊
 
Na mimi nimekuuliza kwani watoto walioshi au wanaishi bila baba wamengukiwa nini?
 
Kwann menemene tekeri na peresi ?
Historia ndefu ambayo sitaki niianzishe ndani ya uzi wa mtu mwingine .

Ila zaidi ukipewa nafasi yoyote tenda kulingana na haki bila hivyo utakuja kulipa kulingana na matendo yako na sasa nilishalipa ubaya wangu .

Japo sio wa upande huo wenye maneno hayo ila nimekuwa shahidi kupitia karma
 
Ongeza sauti watu wanajifanya kupinga kama vile haiwezekani
wapo wengi tuu sema mwanamke kuonekna hamna shida atasema yule ndo baba yake lkn ukiangalia mtoto huyo na huyo jamaa hawana hata chembe ya ukaribu!!!!

watoto walio wengi ambao hawatokani na ndoa basi wanaweza kuwa na baba wasio wao
 
Historia ndefu ambayo sitaki niianzishe ndani ya uzi wa mtu mwingine .

Ila zaidi ukipewa nafasi yoyote tenda kulingana na haki bila hivyo utakuja kulipa kulingana na matendo yako na sasa nilishalipa ubaya wangu .

Japo sio wa upande huo wenye maneno hayo ila nimekuwa shahidi kupitia karma
♥️
 
Ingebid unipe hizo tetesi kidg mkuu
 
wapo wengi tuu sema mwanamke kuonekna hamna shida atasema yule ndo baba yake lkn ukiangalia mtoto huyo na huyo jamaa hawana hata chembe ya ukaribu!!!!

watoto walio wengi ambao hawatokani na ndoa basi wanaweza kuwa na baba wasio wao
Mtoto ninaemzunguzia hapa ni hata kua na baba kabisa ili awe wangu peke yangu ndio maana yangu
 
Na mimi nimekuuliza kwani watoto walioshi au wanaishi bila baba wamengukiwa nini?

Wanapungukiwa malezi ya baba zao.
Mtoto anahaki ya kupata malezi na upendo wa baba yake; siwezi sema kama asipopata anapata madhara gani. Lakini mtoto ana haki ya kumjua baba yake, kupata upendo wake na malezi yake pia.
Binafsi naamini akikosa vitu hivyo, anakuwa amekosa haki yake ya msingi.
 
Wanapungukiwa malezi ya baba zao.
Mtoto anahaki ya kupata malezi na upendo wa baba yake; siwezi sema kama asipopata anapata madhara gani. Lakini mtoto ana haki ya kumjua baba yake, kupata upendo wake na malezi yake pia.
Binafsi naaminj akilosa vitu hivyo, anakuwa amekosa haki yake ya msingi.
Haya sawa Platinum
 
Baba ako tulikutana somewhere
Sijawahi kumuona tena hata familia yake siijui kabisa wala sijawahi kumuona tena vp hapo?
Unaweza kuishi na huo uongo? Yes mtoto anaweza akakuelewa ila wewe je hiyo dhambi ya kumuongopea mtoto aliyemzaa mwenyewe tena unasema hakuna ugomvi kati yenu unaweza kuibeba mpaka mwisho?
Mwanzo utaona unaweza ila trust me siku za usoni itakutafuna utaanza kutafuta namna ya kutema hiyo siri
 
Back
Top Bottom