ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #121
Shenziii haya ngoja nikuacheHapana siharibu huyo daktari lazima anijue tu .
Umesahau nilivyomtibu mganga wa kienyeji pale kigamboni ?
Shenziii haya ngoja nikuacheHapana siharibu huyo daktari lazima anijue tu .
Umesahau nilivyomtibu mganga wa kienyeji pale kigamboni ?
Mzee jau bob..Mh unataka nikutane na dada yako kaka ,hapana sikuahidi kwenda nilidhani nionane na mzee wako labda .
Hivi nashuka na hizi noah natokea Inyala ,mpange mzee tukutane hapa msikitini nawahi hapo
Hapana nipo okKwa hivyo imeshanasa tayari na baba kashapatikana?
Siwezi kaka 😀Mzee jau bob..
Usije ukamwambia nachofanya bagamoyo mambo yakawa mengi mkuu 😂😂😂🙌🙌🙌
Mi ni wa kwanza kwetu
Nenda kanunue mbegu za kiume hospital. Hili linawezekana kwa sababu wanaume wanao-donate mbegu huwa hawatajwi.Yesu baba ake ni nani?
Kwenye mada: sio kwamba mtoto hana baba ila anaficwa makusudi tu
Yaani mfano mimi niseme mtoto nataka ila sitaki ku share huyo mtoto na mtu awe wangu peke angu
Umeelewa?
Shukrani mkuuNenda kanunue mbegu za kiume hospital. Hili linawezekana kwa sababu wanaume wanao-donate mbegu huwa hawatajwi.
HapanaMama Yako alikuficha usimjue baba yako ?
Haya sawaUnafikiri ni rahisi tuu?
Yaani hapo utamwachia dogo trauma isiyo futika
Ni kama unanitisha kwakweli lolUnaweza kuishi na huo uongo? Yes mtoto anaweza akakuelewa ila wewe je hiyo dhambi ya kumuongopea mtoto aliyemzaa mwenyewe tena unasema hakuna ugomvi kati yenu unaweza kuibeba mpaka mwisho?
Mwanzo utaona unaweza ila trust me siku za usoni itakutafuna utaanza kutafuta namna ya kutema hiyo siri
Nieleweshe kwa upole mtoto atapata madhara gani?Siyo uamuzi wenye manufaa ya muda mrefu.
Mara nyingi atakayepata madhara zaidi kwenye situation kama hiyo siyo baba wala mama, bali ni mtoto mwenyewe, so better kufikiri mara mbili kabla ya kuamua kufanya hivyo.
Sawa,Hapana nipo ok
Asante sihitaji ku share mtoto na mtuSawa,
Basi nakuja kuifanya hiyo kazi.
Mimi nitakuwa kama jogoo tu.Asante sihitaji ku share mtoto na mtu
hakuna umuhimu wala faida yoyote ya maana kufanya uamuzi mbaya kama huo, ambao daima hua ni wa kitumwa kisaikolojia kwa mama na mtoto mwenyewe asie na hatia, lakini ni uamuzi wa mbovu wa kujizolea mikosi na kuzikimbiza Baraka na Neema za Mungu kwa makusudi.Hivi kuna madhara yoyote mwanamke akishika ujauzito na kuamua kumficha mwanaume bila kuwa na ugomvi au tatizo lolote kati yao, kwa lengo la kumlea mtoto peke yake?
Pia, ikiwa mwanaume huyo hatakuja kufahamu maisha yake yote kwamba ana mtoto na mwanamke huyo, je, kuna kosa lolote kwa mwanamke kufanya hivyo ili mtoto awe wake peke yake?
ShesRise_1 🖐

Nitakuwa sperm donor tu.Asante sihitaji ku share mtoto na mtu
Kwanza atakosa sehemu ya utambulisho wake.Nieleweshe kwa upole mtoto atapata madhara gani?
Watoto wasio na baba wanaupungufu gani?
Wanakosa nini?
Si nasikia kuna mbegu za kiume zinauzwagwa. Unajichagulia unawekewa unapata mtoto ambae hamjuani na baba. Sina hakika lakini.Kumekua na migogoro mingi kuhusu watoto na inaumiza kicwa sasa nikaona niulize kama kuna uwezekano kwa mwanamke kujipatia mtoto wake binafsi bila ku share na baba mtu ili kuepuka migogoro inayoweza kujitokeza
AsanteMimi nitakuwa kama jogoo tu.
Yeye kazi yake kuzalisha habari ya kulea au kushirikiana kulea watoto haimhusu atajua mama.