makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
We ujeuri wa kuzaliwa huu, hata maombezi hayawezi saidia, acha nikutizame tuUshauri wako sijauchukua mzee tokaaaa ebooo
We ujeuri wa kuzaliwa huu, hata maombezi hayawezi saidia, acha nikutizame tuUshauri wako sijauchukua mzee tokaaaa ebooo
😅😅 mtumishi umerusha taulo hehehWe ujeuri wa kuzaliwa huu, hata maombezi hayawezi saidia, acha nikutizame tu
na anayetaka kuficha au basi na mama mtoto.Yataitajika yawekwe wazi na nani?
Mama mtoto ndio kaamua kuficha sasa atawekaje wazi tena?na anayetaka kuficha au basi na mama mtoto.
Kosa kubwa, uvunjifu wa katiba kipengele kinachozungumzia haki za mtoto.Hivi kuna madhara yoyote mwanamke akishika ujauzito na kuamua kumficha mwanaume bila kuwa na ugomvi au tatizo lolote kati yao, kwa lengo la kumlea mtoto peke yake?
Pia, ikiwa mwanaume huyo hatakuja kufahamu maisha yake yote kwamba ana mtoto na mwanamke huyo, je, kuna kosa lolote kwa mwanamke kufanya hivyo ili mtoto awe wake peke yake?
ShesRise_1 🖐
Niwekee kipengele mkuuKosa kubwa, uvunjifu wa katiba kipengele kinachozungumzia haki za mtoto.
Huyo baba ashtaki atamwambia nani kama ana mtoto?Mtoto na Baba kila mmoja ana haki ya kukushtaki kwa uhaini huo.
Aisee 🙌🙌Wewe ni Bakteria uzae mtoto bila Baba, unaishi jamii gani hata usiulizwe?
Kama hujui hata hizo sheria basi usizae kwanza haujafuzu kua Mama.Niwekee kipengele mkuu
Huyo baba ashtaki atamwambia nani kama ana mtoto?
Aisee 🙌🙌
Nikupe na hii...Niwekee kipengele mkuu
Huyo baba ashtaki atamwambia nani kama ana mtoto?
Aisee 🙌🙌
Una uhakika kila mtu anazijua?Kama hujui hata hizo sheria basi usizae kwanza haujafuzu kua Mama.
uwe unanitag nipate chochote kituKimsingi mi si mwanasheria ila nazijua hizo sheria zipo kila siku zinajadiliwa hata mitandaoni na wanasheria
Sikujibu kwa ubaya ila naweza kua na akili kubwa sana kama ukiamua kunifatiliasasa kama wewe huwa ukiingia mitandaoni unasearch mada za mapenzi tu basi tusichoshane🫵🏾😁
Nimeichukua hiiNikupe na hii...
Nikosa kisheria kumpa mtoto ubin usio wa Baba yake mzazi/kibaiolojia. Haijalishi mligombana au alikukataa au humpendi.
Huyo ndo Baba na hilo ndo Bao lake.
Imeisha hiyo Boss, ila akili kubwa uongo.Una uhakika kila mtu anazijua?
uwe unanitag nipate chochote kitu
Sikujibu kwa ubaya ila naweza kua na akili kubwa sana kama ukiamua kunifatilia
Nb: jifunze kujibu hoja bila ku mu attack mtu
😅😅 wewe ilibidi ujibu kulingana na hoja bro sio kua mchambuzi wa mtoa mada mie kwa ukomavu wangu siwezi kukumbia wewe una akili ndogo au kubwa mimi nitabishana na wewe kwa hoja iliyopo mezani right 👊Imeisha hiyo Boss, ila akili kubwa uongo.
Sheria ya Mtoto ya Tanzania (The Law of the Child Act, Cap. 21, R.E. 2019)😅😅 wewe ilibidi ujibu kulingana na hoja bro sio kua mchambuzi wa mtoa mada mie kwa ukomavu wangu siwezi kukumbia wewe una akili ndogo au kubwa mimi nitabishana na wewe kwa hoja iliyopo mezani right 👊
Section 6 of the Law of the Child Act:😅😅 wewe ilibidi ujibu kulingana na hoja bro sio kua mchambuzi wa mtoa mada mie kwa ukomavu wangu siwezi kukumbia wewe una akili ndogo au kubwa mimi nitabishana na wewe kwa hoja iliyopo mezani right 👊
Sikio la kufa halisikii maombi... 😂🤣, waswahili wakasema asieju maana haambiwi maana.😂🤣😅😅 mtumishi umerusha taulo heheh
Mkuu nimekuelewaaa sana umeongea vizuri mnooo♥️♥️♥️♥️Ni kosa kisheria na kiimani. Hiyo ni sawa sawa na kubaka.
In medical field, kuna Ethical Principle moja inaitwa "Informed Consent". Yani kabla haujafanya procedures fulani fulani kwa mgonjwa lazima umuelimishe kisha aridhie kwa kusaini.
Nawe ni vizuri utafute mwanaume ambaye ana-fit kwenye hilo takwa lako kisha aridhie yeye mwenyewe.
Ili mwisho wa siku hata mtoto awe anamjua baba yake mzazi hata kama utampa u-bin wako wewe.
Kimsingi wewe unachotaka ni mfumo wa "Matrilineal Family" ambapo watoto wataitwa kwa jina lako na wewe ndiyo utakuwa top of the family.
Hilo linawezekana kabisa na wanaume hawana tatizo, na ukiona labda kutakuwa na trust issues huko mbeleni basi mnaweza kusainishana kisheria kabisa ili mbele ya safari uwe safe.
Tofauti na hapo utakuwa unafanya uharamia mkubwa sana, damu ni nzito kuliko maji.
In one way or another karma will hit back on you ukifanya kwa kificho.
Hii hatari sanaMara paap anazaa na mjomba babu au baba yake mdogo Au baba yake mzazi anaanzaje kumtaja?? Dunia ina mengi mno.
Sawaa😅 ba mchungajiSikio la kufa halisikii maombi... 😂🤣, waswahili wakasema asieju maana haambiwi maana.😂🤣