Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,739
- 7,444
UsinifokeeKila la kheri
UsinifokeeKila la kheri
Tulia kijana huruma sio maleziUsinifokee
Overdose ana jisahau sana 😂😂Naona limbwata limeisha ngoja nikamuongezee dawa 😹
😹😹😹 Ya kunywa nitamuwekea kwenye maji ya kuoga afu ya kuoga nampikia..!! Awe zezeta kabisaa..!!Overdose ana jisahau sana 😂😂
Safiii shenzii zake anataka kufunua kila sketi😅😹😹😹 Ya kunywa nitamuwekea kwenye maji ya kuoga afu ya kuoga nampikia..!! Awe zezeta kabisaa..!!
Sasa unampa mtoto ubini gani?Yesu baba ake ni nani?
Kwenye mada: sio kwamba mtoto hana baba ila anaficwa makusudi tu
Yaani mfano mimi niseme mtoto nataka ila sitaki ku share huyo mtoto na mtu awe wangu peke angu
Umeelewa?
Wa kwangu au ubini fakeSasa unampa mtoto ubini gani?
Shida itakuja wakati kijana akishajitambua na akitaka kujua mizizi ya alikotoka.Wa kwangu au ubini fake
Yaan hapo ndio naishiwa powerShida itakuja wakati kijana akishajitambua na akitaka kujua mizizi ya alikotoka.
Damu ya mtu ni nzito sana kupotea kirahisi hivyo mkuu.
Na kwanini unataka umilikiwa mtoto 100% kama vile ni asset badala ya kuwa takwa la kiimani, kijamii na kihisia zaidi?Yaan hapo ndio naishiwa power
Ingekuwa wanaume sio muhimu ungejipa mimba mwenyewe, kitendo cha kuuliza swali lenye Malengo ya kumtafuta tayari ni wa muhimu, punguza kujikweza.mnajipa umuhimu sana aisee
Sitaki ku share watoto wameleta migogoro kisa ku shareNa kwanini unataka umilikiwa mtoto 100% kama vile ni asset badala ya kuwa takwa la kiimani, kijamii na kihisia zaidi?
InashangazaKuna mikasa mingi sana ya wanaume ambao walipata watoto bila kutarajia na wenza ambao hawakuwa na nia ya kuwaficha, lakini mwishoni wengi wamekutana na watoto wao katika mazingira ya kushangaza sana.
Haya sawaIngekuwa wanaume sio muhimu ungejipa mimba mwenyewe, kitendo cha kuuliza swali lenye Malengo ya kumtafuta tayari ni wa muhimu, punguza kujikweza.
Huo ni upumbavu,kazaa na Baba yake au mjomba auKaka!, baba wa mtoto muhimu afahamike!Hivi kuna madhara yoyote mwanamke akishika ujauzito na kuamua kumficha mwanaume bila kuwa na ugomvi au tatizo lolote kati yao, kwa lengo la kumlea mtoto peke yake?
Pia, ikiwa mwanaume huyo hatakuja kufahamu maisha yake yote kwamba ana mtoto na mwanamke huyo, je, kuna kosa lolote kwa mwanamke kufanya hivyo ili mtoto awe wake peke yake?
ShesRise_1 🖐